Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Mi naanza, jimbo la Msalala ndugu Maige (aliyepewa uwaziri ili kupongezwa kwa wizi huo) alitorosha maboksi yenye matokeo ya urais. Hadi leo hii si Kikwete wala dr. Slaa anajua alipata kura ngapi jimbo la Msalala huko Kahama.
Shinyanga Mjini mh. Masele (waziri kwa sasa) 'alihonga' na ushindi wa marehemu Shelembi (chadema) ukapokwa, eti alishinda kwa kura moja! Tuendelee wakuu
Shinyanga Mjini mh. Masele (waziri kwa sasa) 'alihonga' na ushindi wa marehemu Shelembi (chadema) ukapokwa, eti alishinda kwa kura moja! Tuendelee wakuu