Tujikumbushe uchakachuzi wa kura uchaguzi mkuu 2010

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,092
Mi naanza, jimbo la Msalala ndugu Maige (aliyepewa uwaziri ili kupongezwa kwa wizi huo) alitorosha maboksi yenye matokeo ya urais. Hadi leo hii si Kikwete wala dr. Slaa anajua alipata kura ngapi jimbo la Msalala huko Kahama.

Shinyanga Mjini mh. Masele (waziri kwa sasa) 'alihonga' na ushindi wa marehemu Shelembi (chadema) ukapokwa, eti alishinda kwa kura moja! Tuendelee wakuu
 
Hiyo kitu sijawahi kuielewa hadi leo!! Walirudia mara ngapi?

Shelembi (RIP) huenda ni Mbunge huko aliko. Sisi watu wa imani huwa tunaamini kama hukupata hapa duniani kwa sababu ya dhuluma basi utapata mbinguni.
 
inaumiza sana mkuu.
 
kwa sasa hili halina umuhimu wa watu kutafuta namna ya kuweka usawa kwenye tume ya ucahguzi, wacha tu ibakie tume ya CCM mpaka karibu na uchaguzi au baada ya uchaguzi malalamiko yajirudie. Kwa kweli janja ya CCM ni ndogo sana isipokuwa hawachokozwi kunako usika.

Embu tujiulize kwanini kila siku tunalalama oooh TBC hawajafanya sawa kutoongelea hili na lile, wakati ni chombo kinachoendeshwa na walipa kodi surely under the right pressures jamaa anae endesha hiko chombo could be fired.

Au haya magazeti ya uhuru na daily unless they declare to be part of CCM they have no entitlement to be bias, na kama ni media za magamba basi ziwe funded na magamba na si hela za walipa kodi.

Upinzani tulishasema au pigi ngumi kwenye sehemu muhimu kummaliza mpinzani wao ni nalii tu.
 
chadema wameanza vyema
 
@ zinja, mkuu tuwakumbushe hawa madubwana wanaojiona miungu kuwa, we know what they did. Tuliamua tu kwa kutoharibu amani
 
maeneo mengi saana kulikuwa na uchakachuaji wa hali ya juu
kuanzia same ANNE KILANGO ALIMUIBIA KURA MAMA KABOYOKA
SUMBAWANGA YAMSEBO ALISHINDA
MANYOVU KUNA JAMAA ANAITWA BUDIDA ALISHINDA
SERENGETI kuna mwlimu RYOBA alimshinda yule DR wa fisi anayejiita KEBWE lakinimatokeo yalihujumiwa saana
BUNDA wasira alipigwa mchana kweupe lakini akafanya mbinu akaungana na mgombea wetu wanavyojua wao wakauziana
TARIME nako mgombea wa CDM (WAITARA)aliamua kujiamini hata hakuwa na matokeo ya awali,wala hata strategy ya kukusanya matokeo mpaka leo kuna maeneo hayakuleta matokeo na akaingia kulala ndani ya halmashauri wakati huo jamaa wanafanya uchakachuaji oo my god chadema tuliporwa jimbo la tarime mwishoni kukosa vitendea kazi,umakini,kujiamini kupita kiasi
SIHA
MOSHI VIJIJINI
KIBAHA MJINI HABIBU MCHANGE ALISHINDA PIA naomba niweke hii sawa mpaka sasa CDM km uchaguzi unarudiwa pale ccm ni aibu
KILOMBERO MAREHEMU REGIA alishinda R.I.P
 
Mkuranga mgombea wa CDM aliambiwa na wewe una sura ya kuwa Mbunge. MAsikini yule mama alitaka hata kuvua nguo zote pale nje NBC Dar. Alikuwa analia muda wote!!!!. Inasikitisha maana walibadili yale matokeo yake yakawa ya mgombea wa CCM.
 
Back
Top Bottom