Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,307 Reaction score 39,672 Dec 31, 2010 #1 Wewe upo wapi hapo???
M muh Member Joined Dec 13, 2010 Posts 7 Reaction score 0 Dec 31, 2010 #2 hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi
hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Dec 31, 2010 #3 peke yako
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jan 1, 2011 #4 muh said: hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi Click to expand... Kwamba shanga ni vifungo vya ibilisi, hapana siamini, mbona tunavaa mikufu ya misalaba shingoni, pia tunafukiza madhabahu sasa kuna tofauti gani hapo. Shanga ni pambo tu kwa mtoto na kwa mwanamke.
muh said: hahahaha alu tumetoka bali jamani enzi za hirizi kiunoni kwa imani ni ulinzi kwa mtoto. Mungu tufunguwe katika vifungo vya ibilisi Click to expand... Kwamba shanga ni vifungo vya ibilisi, hapana siamini, mbona tunavaa mikufu ya misalaba shingoni, pia tunafukiza madhabahu sasa kuna tofauti gani hapo. Shanga ni pambo tu kwa mtoto na kwa mwanamke.
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jan 1, 2011 #5 Hao wenye kamba kiunoni nahisi ni wakike
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,360 Reaction score 2,388 Jan 1, 2011 #6 mambo ya mapot made by tegry plastic