ufyudhi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 772
- 536
Kataraia minziro wa majeshiHivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
Kataraia minziro wa majeshiHivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
Yusuph Macho "Musso"Ally Yusuph "Tigana"
Razak Yusuph " Careca"
Said Sued "Scud"
Mohamed Mwameja " TZ one"
Itutu Kigi "Master"
Method Mogella "Kiraka"
Salumu Kabunda "Ninja"
Hapana Salvatory Edward hakuwahi itwa polisi. Nakumbumbuka huyo mwenyezi Nick name ya polisi ni Ibrahimu jina la pili nimesahau.Salvatory edward "polisi"
James tungaraza"bolizozo"
Haruna niyonzima"fabregas"
Hapana mkuu,Yusuf Macho ''Fuso''
Hata mie nahisi, ni tukuyu stars, ilipanda faraja Na kuchukua ubingwa, Na kuna mkubwa alimanusura ashuke daraja mwaka huo kama sikosei.sio tukuyu???
Khalfan Ngassa 'Pele wa Mwanza'
Huyo Jobe ayoub "kwasakwasa" alikuwa beki mahiri sana.Kureshi Ufunguo 'injinia', Jobe Ayoub 'kwasakwasa', Mtwa Kihwelo 'dally kimoko', Jamhuri Kihwelo 'mrema', Mussa Kihwelo 'super', Raphael Paul 'rp', Juma Amir 'pele', Adolf Kondo 'mzungu', Edward Chumila 'edo boy', John Makelele 'zigzag', Iddi Pazi 'father', Selestin Mbunga 'sikinde', Ubwa Makame 'mzungu', Godwin Aswile 'scania', Abdul Ramadhan 'mashine', Abdala Mwinyimkuu 'carlos', Athuman Abdala 'china', James Tungaraza 'bolizozo', Amri Said 'jap stam', Iddi Seleman 'nyigu'. List ni ndefu sana.
Yusu
Yusuph Macho "Musso"
Akida Makunda
Minziro ndo nickname yake ni ni kwasababu anatokea huko Minziro mpakani na Uganda.Hivi Fred Felix Minziro hakuwa na nickname?
Steven Nemes je?
Uongo.Minziro ndo nickname yake ni ni kwasababu anatokea huko Minziro mpakani na Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app