Mr Mose
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 368
- 524
Mtazamo tuuuDuh, hivi hawa ni wacheza soka? Ugonjwa wa siasa ni hatari sana.
Mtazamo tuuuDuh, hivi hawa ni wacheza soka? Ugonjwa wa siasa ni hatari sana.
Aliacha kabla ya kuchoka.Hivi katika wachezaji wote kuna ambaye alivuma kwa mda mchache sana kama Kalimangongi Ongala
Da! Enzi za TBC yenye nguvu.Wana Kawekamo
Sio sahihi mkuu. Inafaa ya Ngoswe yawe ya Ngoswe tu.Mtazamo tuuu
..kwa majina haya ya a.k.a hizi ngumu kucheza AFCON na World Cup..Sanifu Lazaro -Tingisha
Salum Kabunda -Ninja
Bakari Malima -Jembe Ulaya
Said Swedi - Scud
1.Makumbi Juma...homa ya jiji
2.Kelvin Yondan...Vidic
3.Nadir Haroub...Canavaro
4.Said Mwamba...Kizota
5.Mohamed Mwameja. Tone
6.Hamis Gaga...Gagarino
7.John Boko Adebayo
8.Mao Mkami...ball dancer
9.Jamuhuri Kiwelu...Julio
Ramadhan "Lenny" Maufi
Abega huyu thiofile abega ilikuwa mido ya cameroon.Ramadhan "Lenny" Maufi