Weeee, fatilia data zako vizuri, LIEMBA ni ajuza kwelikweliView attachment 646173 Zilitengenezwa mwaka mmoja na hii ya Lake Tanganyika kwa ajili ya kubeba abiria na mizigo
Weeee, fatilia data zako vizuri, LIEMBA ni ajuza kwelikweliView attachment 646173 Zilitengenezwa mwaka mmoja na hii ya Lake Tanganyika kwa ajili ya kubeba abiria na mizigo
Kuna connection gani hapo
Yawezekana sinaHapo lazima uwe na "D mbili" ndio utaelewa connection yake.
Hebu funguka hapo kuhusu majini ya ziwani na uchawi. Wahusika wanasemaje kuhusu hiloSijui story huwa ni kweli? Ila Tatizo kubwa ni uchakavu wa meli,kutoboka na kuzidisha tani meli ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 400 lakini siku hiyo ilikuwa na watu 1000 kitu ambacho sio cha kawaida wengine walikosa usafiri bandari ya bk lakini walisafiri kwa daladala had I kemondo km 13 ili wahiwahi wengine wangine wanahusisha ajali na mjini ya ziwani na uchawi
Du pole yake sana. Alikuwa mkoa gani? Darasa la ngapi? Kwanini alihama?Dah! hii meli ilichukua maisha ya baba wa mchumba wangu wa utotoni mwisho akahama hadi shule!!
Duh pole sana ndo wale wadada waliosoma soma Rugambwa?nilipoteza classmates 26 kwenye hii meli, wapumzike kwa amani
Masikini kumbe ndo ilikuwa hivyo? 😭😭😭😭😭kiliniuma sana wale wanafunzi wasichana wa Rugabwa waliokuwa wamemaliza kidato cha sita wote waliteketea; walivyoona sasa wanakufa walishikana wote kuagana kwa safari ya milele - too sad.
Sasa hivi yupo wapi? Walikuwa third class?waliopanda meli ile alinusurika mwanafunzi mmoja tu
Duh unataka kuhusisha tukio hilo na mambo ya kiroho?Nimewahi kufanya safari na hii meli mara kadhaa siku za hapo nyuma, Ukweli hii meli ilikuwa si chakavu, Mimi ni mvuvi wa siku nyingi sana, moja ya mambo ambayo avitakiwi ukiwa ziwani ni vitendo vyovyote vya kufanya ngono majini, binafsi ktk safari ndani ya meli hiyo nikiwa ninasafiri nimeshuhudia mara kadhaa abiria wakitenda matendo hayo! Majini huwa kuna majini awapendi huo uchafu, Pia mbali ya idadi kubwa ya watu siku ya tukio la kuzama hiyo meli, Abiria kuelekea upande mmoja nayo ni moja ya sababu ya kutokea maafa siku ile ya tukio la MV Bukoba,pamoja na kwamba siku ile ya tukio hali ya ziwa ilikuwa shwali.