Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

Hii ilimkosakosa baba yangu mpenzi, nakumbuka siku hiyo alienda bandari ya bk kupanda hii meli kwa safari ya Mwanza......... na ilikua dingi akisafiri ni full shangwe nyumbani mixer kujiachia sana kwa makelele, ghafla tunasikia mtu anakohoa chumbani ile kuchungulia ni mshua kalala na hatukujua karudi saa ngapi jioni ile. Baadae akatuambia kwa masikitiko kwamba meli imejaa sana hivo hakupata usafiri. Kesho yake yakawa haya........
 
Mv bukoba kuna kipindi miaka ya tisini mwanzoni ilikuwa inaenda musoma pia,tukiwa wadogo tuliipanda,nakumbuka kwenye meli walikuwa wanakataa watoto wachanga kulia eti itazama,sifa nyingine ilikuwa inasafiri kiupande upande kama imeelemea upande mmoja!

Siku inazama pale shule ya nyanza primary mapema tulipata taarifa,sie tuliokuwa tunakaa nera kando ya ziwa,kuna muda miili ilikuwa unaikuta ufukweni mwa ziwa ukienda kupiga mswaki "bichi"
Ilikuwa hatari sana tulimpoteza mwanafunzi mwenzetu wa nyanza ali mwarabu na familia yake wakitoka harusini,pia imam wa kwanza wa masjid al asais makongoro nae mauti yalimkuta humo!
 
!
!
Kuna kitu halipo sawa hapo. Yaani kina cha ziwa viktoria hakuzidi urefu wa Uwanja mmoja wa mpira? Au haizidi up ana wa mbio za mita Mia?
Kweli kuna kitu hakipo sawa na sehemu ilipozamia km 30 toka bandarini ukiangalia ni chini ya m 10 kwa mujibu ya hivyo vipimo.....inamaana ilizama sehemu ambayo yenyewe ni ndefu kuliko kina?
 
!
!
Ila pamoja na yooote kuna yule mpumbavu ambaye alipanda juu ya Meli akatoboa ili aokoe watu. Yule mtu sijui alikuwa na akili gani.
Hatari, nasikia huyo jamaa alipigiwa simu na tajiri aliyekuwa kwenye meli kwamba huyo tajiri alikuwa na million 80 na ambaye angemuokoa angechukuwaa hizo pesa. Ndo jamaa wakapagawa wakabeba mitungi ya gesi wakaenda kutoboa ili wamtoe tajiri wapate pesa. Ttizo lilikuwa elimu maana walisombwa wote kungizwa kwenye meli maana maji yaliingia kwa pressure kali nao wakafa.
 
Hii ajali ilibadili kabisa mwelekeo WA maisha yangu maana nilimpoteza baba yangu kipenzi, yeye ndo alikuwa kila kitu katika kulea familia hivyo baada ya ajali kila kitu kikasimama ghafla. Shukrani kwa mama yetu aliyeweza kusimama kidete na kutupa nuru mpya.
 
pole sana, Pia sis wengine tulipata simanzi, kila mmoja kwa aina yake ; mimi ndiyo nilikuwa nimeajiriwa mwezi huo, boss wangu akapoteza maisha kwenye ile meli wakati akirudi Dar baada ya kukosa ndege; it was too sad hasa ukiwaona watoto wake na mama wakija ofisini pale lah.
 
Hii ilimkosakosa baba yangu mpenzi, nakumbuka siku hiyo alienda bandari ya bk kupanda hii meli kwa safari ya Mwanza......... na ilikua dingi akisafiri ni full shangwe nyumbani mixer kujiachia sana kwa makelele, ghafla tunasikia mtu anakohoa chumbani ile kuchungulia ni mshua kalala na hatukujua karudi saa ngapi jioni ile. Baadae akatuambia kwa masikitiko kwamba meli imejaa sana hivo hakupata usafiri. Kesho yake yakawa haya........
Unachekesha
 
Mv bukoba kuna kipindi miaka ya tisini mwanzoni ilikuwa inaenda musoma pia,tukiwa wadogo tuliipanda,nakumbuka kwenye meli walikuwa wanakataa watoto wachanga kulia eti itazama,sifa nyingine ilikuwa inasafiri kiupande upande kama imeelemea upande mmoja!

Siku inazama pale shule ya nyanza primary mapema tulipata taarifa,sie tuliokuwa tunakaa nera kando ya ziwa,kuna muda miili ilikuwa unaikuta ufukweni mwa ziwa ukienda kupiga mswaki "bichi"
Ilikuwa hatari sana tulimpoteza mwanafunzi mwenzetu wa nyanza ali mwarabu na familia yake wakitoka harusini,pia imam wa kwanza wa masjid al asais makongoro nae mauti yalimkuta humo!
Poleni
 
Back
Top Bottom