Tujikumbushe Movie za Kihindi zilizo tubamba Enzi hizo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe Movie za Kihindi zilizo tubamba Enzi hizo...

Discussion in 'Entertainment' started by Viper, Jun 11, 2011.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  aishwarya rai

  she is called the most beautiful woman in the world

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mimi hawa uwa awanivutii kabisa
  sababu wabaridi sana kama friji
  lakini naona huyu kaongezea na artifitial kimtindo
   
 3. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Well... I would say she is beautiful.. yes.. in India..:coffee:.

  ..... But in the world?:A S 13:.. In my opinion, my wife takes that tittle..
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sanamu!!!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ni mzuri kweli ...website moja nilimkuta anashindanishwa na Anjelina Jolie na mchuano ukawa droo
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehehe .... sawa mkuu mambo ya I THINK I LOVE MY WIFE ... kama ukiwa mpenzi wa filamu na kufuatilia waigizaji katika maisha yao binafsi utakuta huyu yupo rated ni among most beautiful stars katika ulimwengu wa sasa wa filamu
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  yeh FL1 nafikiri huyu kamzidi kidogo A.jilie .. "nikiwa naangalia filamu zake huwa naduwaa kwenye macho yake utadhani ni ya sanamu"
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hajamzidi Irene Uwoya wa Bolywood.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  She is truly beautiul...
   
 10. P

  Percival JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,560
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hiki Chuma kiliwahi kuchukua miss world. Ama mzuri.
   
 11. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kidogo tu angemfikia demu wangu wa tegeta!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Salam Namaste Vipper….lol…

  Nimona nitumie salamu yao in the courtesy of aishwarya rai Bachan… namkubali huyu dada hakuna mfano… to me she is the Angelina Jolie of Bollywood akifuatiwa na Priyanka Chopra... Her best works to date kwangu ni Sakar Raj II (ame act na the husband na mkwe…), Jodha Akbar (akiwa na kijana very matata Rhitik Roshan…) Guzarish (akiwa na Rhirik pia…), Umrao Jan (akiwa na the husband)… Dah! In short she is good.

  Kwa wale wenye excuses kua hawaangalii za kihindi she is an international artist, tafuta her Hollywood best in Bride and Prejudice; The last legion (tena akiwa na Collin Farrel! Won't be disappointed..) dah' nimesahau moja jina napenda kweli… enways potezea….oh nimekumbuka… Mistress of Spices… when you watch this you will forever fall in love with her!

  Alafu wapiiiii PEARL…. Huyu dada ndo mahali pake!!!! lol
   
 13. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naam Asha D kya sahe...

  kuna kajol lakini naona amechuja sikuhizi.. "

  hube mcheki kajol enzi zake
  umemsahau kareena kapoor ! dada huyu naye ananikosha saana...

  Kareena Kapoor

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Viper ni makosa saana kusema Kajol amechuja ...
  huyo dada katika historia ya movie Bollywood kacheza
  nafasi nyingi, kubwa, influencing... ni kweli time goes on but
  ukizingatia miaka aliyotoka na alivyo sasa, huwezi tofautisha... nam
  admire ki aina ila si kipenzi changu saana... Na kama unavyo elelwa
  to any real Indian na Bollywood lovers... wapi utaacha kuchkuch hotai (sorry kama nimekosea spelling...)
  That is one of an all time romance...

  Hata hivyo si juzi juzi hapa kacheza na Sharuk Khan picha ya MY NAME IS KHAN! Bado wapo bana.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  asha d
  uliiona chandni ya zamani kidogo?
  sri devi??????

  unamfahamu lakta mangeshkar??????
  zipi unazopenda za lakta??????????
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  The Boss sijawahi kuona Chandi, ninayo kwenye collection but hunitia uvivu... sioni kama ni nzuri..
  Nimeanza kuangalia picha za Kihindi juzi juzi tu hivyo nyiiiiingi nimeangalia dont know the names yet...
  Nilo bold hapo yoote mageni... alafu waweza kuta nafahamu ila sijajua ndo hio... kama ni wa zamani
  ni evident siwajui fresh...
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  watoto wazuri ila uwoya nae anahusika au niaje?
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  aisee basi umepitwa na mengi
  itazame hiyo chandni
  filam za zamani ndo zenyewe
  hyuo lakta mangeshkar ndio muimbaji maarufu kuliko wote
  india
  ni kibibi now but nyimbo zote za kihindi maarufu kaimba yeye
  wewe nenda you tube tafuta nyimbo hizi
  kabhi kabhi,jo wara na zingine
   
 19. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  je mnaikumbuka "Jumma Chumma Dede" ya Amitabh Bachchan " kuna rafikiyangu alinambia maana yake "today is friday & u promised to kiss me "

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  Kama umesema nzuri... naamini nzuri, i will watch it.
  Ako ka brief history uliko nipa ka Huyo mbibi explains why
  simfahamu.... i love knowing things... nitamfuatilia nimjue vyema...
   
Loading...