Tujikumbushe mojawapo ya kazi za Eric Shigongo alizowahi kuifanyia CCM

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,761
5,877
Baada Ya Kuona malalamiko ya Shigongo Jana Nikarudisha kumbukumbu nyuma nakupekua vitu kadhaa nikakutana na Na Moja Ya Kazi Hizo anazodai kukifanyia Chama Cha Mapinduzi..

Mimi ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Lakini Hakuna kitu sipendi kama kuwagawanyisha/Kuwachonganisha Watu kwa kutumia Udini..

Je Kwa Kazi Hii Anastahili Kulipwa.? AU kuna kazi nyingine tofauti na hii..

 
Kweli kutuaminisha kote kule kuwa umetoka familia masikini na umepambana kumbe ndo upambanaji huu acha tuisome namba wote.
Tunashukuru wengine tulikusikiliza bila kujua nyuma yako nani yupo leo sisi tunacheka hatuna mali ipo benki
 
alafu huyu mzee hata hawajibu wala nini japokuwa wanae wanaconnection nyingi tu nawatoto wa mjini pia wanamiliki chombo cha habari..!!mzee anafanya yake tu haangaiki nao kabisa but karma pays their dues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…