Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Hii sredi ingepelekwa jukwaa la siasa ......
MAPROSOO.
Dah, kutokana umasikini wetu sikuweza kumiliki la halali, ila kulikuwa na kaka yangu alikuwa anaiba huko shuleni kwao ndio na mimi napata.
Dah! Ni KOMPASI aiseee, enzi hizoooo 1988!
hiyo ni bofa kikwetu olbofa
KOFA na BOFA, vyote bado vipo madukani. Tembelea Tahfif Stores utapata moja. Enzi hizo mambo ya Elimu Supplies ndani ya IPS Building.
Mitoto yetu ya siku hizi bure kabisa, haijui maktaba wala Dar es Salaam Bookshop. Lkn hata hivyo na serikali nayo zero, pale Dar Bookshop siku hizi utakuta Atlas 4 na Biblia 3 za Poboporian na watu wanuza sura. Vitabu vya watoto hakuna, na wazazi hatuoni kuwa muda wanaosoma magazeti ya Shigongo walitakiwa kusoma hadithi za umri wao
Naikumbuka zamani, naitamani..