Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Namtafuta humu jamvini aliyepata kusoma kitabu chenye hadithi za Juma na Roza, Damasi, Kula mno ni hasara(Manenge na Mandawa) Heri mimi sijasema, Zamwizi arobaini nk.
Endeleaaaa...!
Enzi za mwalimu mtu alipata ubunge kwa sifa zake, sasa leo bunge ni mali ya walanguzi, WaTZ msishangae mambo ya posho ni zama za bunge la kununua kura ambalo kimsingi posho ndo sehemu ya faida ya biashara iliyofanyika wakati unauza kura yako, ulidhani we mjanja kumbe umzidiwa akili. Pole sana MTz.
wewe unamaanisha hata akina zitto, sita, sendeka, makamba, kigwangwala na kilango walinunua kura?Enzi za mwalimu mtu alipata ubunge kwa sifa zake, sasa leo bunge ni mali ya walanguzi, WaTZ msishangae mambo ya posho ni zama za bunge la kununua kura ambalo kimsingi posho ndo sehemu ya faida ya biashara iliyofanyika wakati unauza kura yako, ulidhani we mjanja kumbe umzidiwa akili. Pole sana MTz.
Mbona unataja wale wachache ambao hawamo kwenye hilo, basi nikujibu kihisabati chukua wabunge wote harafu toa (minus) hao wachache; jibu litakuwa limepatikana.