Tujikumbushe Makonda alipokataa kuwaomba radhi Clouds Media

Tujikumbushe Makonda alipokataa kuwaomba radhi Clouds Media

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,434
Reaction score
5,228
Huyu jamaa watu tumeamua kufukua makaburi yake yote ya nyuma! Leo acha tuanze na hili tukio ambalo binafsi liliniacha mdomo wazi baada ya Makonda alipokata kuomba msamaha kwa Clouds baada ya tukio la kuvamia Media hiyo! Tena alikataa mbele ya Marehemu Ruge

Hii ilikuwa ni Aug 9, 2017 katika mkutano na waandishi wa habari na Wahariri uliitwa na TEF
===========
 
Alipoongopa alipokuwa siku Lisu anashambuliwa Dodoma yeye akiwa kiongozi wa kundi lile.
 
JF mkizidi kuwapa airtime machawa wa CCM hapa mada zao kwa VPN.

MNafutwa rasmi
 
Back
Top Bottom