Nakumbuka mabasi kama The Roots (Muleba - Bukoba) nadhani ndiyo ilikuwa Scania basi ya kwanza ya binafsi enzi hizo,
RETCO - Bukoba - Kaisho (Karagwe)
Double Action (Bukoba - Nshamba)
Vijiji Saba (Bukoba - Ruhunga)
Abdjan (Bukoba - Kamachumu)
nilikuwa darasa la kwanza , mimi na mama tulisafiri kutoka Tanga kwenda Mbeya, tulipitia Dar kutoka dar tulipanda tazara hadi Mbeya, watu si kugombania na kupigania kuingia kwenye treni..na mabegi yetu.
Yaah man, The Big Mayai ilikuwa very luxurious kwa enz hizo, ndo Marcopolo za kipindi hicho...Mwenzake alikuwa Cat Bus.
Pia kulikuwa na Natasha Bus(Dar -Dom), Mlendas &Yellow Line(Singida-Iramba), Super Star(Dar-Dom), Safari Coach (Dar -Iringa), Scola Stika (cjui ni Dar-Moro au), Delux Coach(Dar-Dom), Atlas (Dar-Singida) nk
Muki Mtoto toka Mlale - Mzumbe - Morogoro town. lilikuwa likichanganya kwenye barabara ya lami kuanzia Sangasanga kuelekea town, lazima muinue miguu juu, manake sakafu inatekenya basi zima mnacheka! kuna siku mama mjamzito ilibidi ashushwe mitaa ya Mindu ili ajifungue kwenye majani basi limeshindwa kumuwahisha morogoro mjini hospitali!!! Miaka ya 1988+
nguvu kazi [mwenge-stesheni] , skola stika[mwenge-stesheni] , riziki kwa mungu"tim yulee!"/riziki kwa mungu"golo yulee!" golo bus service"tim yulee!"[mwenge-stesheni;chang'ombe via maduka mawili-posta] , mv mapenzi[chang'ombe posta] , kitmeer[temeke chang'ombe n.k] , dau la mnyonge , kuti kavu , ugweno , e.t.c
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.