lumumba junior
Member
- May 23, 2014
- 48
- 20
Rombo generation........
Zile dcm za rombo zilikuwa zinaitwa maktaba........
Rombo generation........
Kanyugu na morning star coach Kanyigo to Bk; Rwabizi Bk to Kamachumu(waliosoma Rutabo seminary miaka ya tisini mtaikumbuka
Mkuu DAR EXPRESS kipindi kirefu tu. Hii ni moja ya Kampuni za siku nyingi pamoja na HOOD , NGORIKA nayo ya tangu 1974.Sasa mkuu ukiweka basi za kisasa kama Dar Express, inakuwa sio kukumbuka tena maana kila mmoja anayaona. Raha yake zitajwe basi za miaka mingi nyuma tangu uhuru; hiyo ndio historia!
Fadhili Mawese, Kigoma kwenda Kibondo kupitia Kasulu. Likikupita utalipata tena baada ya wiki miaka kama 40 iliyopita hapo
Wewe ni dot com..~~~~~..
'ARAWA bus SERVICE' kutoka umbwe kwa Rafael kwenda Moshi mjini
Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.
Nakumbuka Njuweni, Masama Clif na Masama Safari, Yarabi Salama na Yarabi Toba.
UDA
Mkuu ww kweli wa zama zangu, Sahib pia ilikuwepo Ar-Dom , nyingine Loliondo Bus Service, Kindoroko Bus Service, alafu kuna nyingine iliwahi kuanguka mto karanga jina linabip kwa mbaali, tumechora sana haya mabus ndio ilikuwa trendy ya miaka hiyo