Tujikumbushe kwa Babu Loliondo

Tujikumbushe kwa Babu Loliondo

Conclusion ya huu uzi ni kumnanga marehemu fulani hivi
Hahahaha Tanzania Ina viongozi wa hovyo sana imagine presidential material wa CCM 2015 nae alikua kwenye chain ya wajinga wa Karne
Waliohadaiwa ya kwamba Kuna dawa ya kienyeji inatibu magonjwa sugu Kwa
Tsh 500 tu
Aahaa Hapana Kuna vitu vingine vinashangaza sana Afrika!
😁😁😁😁🔥🔥🔥
 
Huyu mtu anawatesa Sana, kati ya Malaki walioenda bado mnamuwaza JPM tuu utafikiri chadema hawakwenda.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Wewe MATAGA acha kulia lia! Sasa na wewe si ungeweka hizo picha za hao Chadema waliokwenda kunywa kikombe cha Babu, ili sisi watazamaji tuendelee kufaidi?
 
Hahahaha Tanzania Ina viongozi wa hovyo sana imagine presidential material wa CCM 2015 nae alikua kwenye chain ya wajinga wa Karne
Waliohadaiwa ya kwamba Kuna dawa ya kienyeji inatibu magonjwa sugu Kwa
Tsh 500 tu
Aahaa Hapana Kuna vitu vingine vinashangaza sana Afrika!
😁😁😁😁🔥🔥🔥
kitu ambacho hujui ni kwamba hata wazungu huja huku kwenda kwa waganga wa kienyeji na kupewa mutishamba,unaambiwa huko kahama kuna mtu mweusi alikuwa na misukure ya kizungu
wacha kukejeli dawa asili maana hata vidonge vimetoka huko
 
Acha kunilisha maneno ya kujifariji mzungu Gani aje achukue dawa za mitishamba Kwa ma witch doctors wa Gambosh?

Wabongo Kwa uzushi hamjambo!
 
Watanzania tukiamua kuamini huwa tunaamini kweli kweli na hapo elimu zetu zote za darasani tunaweka pembeni sababu haziwi msaada kwa wakati huo.
 
Hukuweka picha moja ya muhimu.

Wengi walionda kupata kikombe hata na mtoa kikombe wameshaenda Mbinguni.

Hii ni kuonesha ni jinsi gani uhai unapiganiwa.
Unaitaka ile picha "yangu" nimevaa koti oversized huku nabugia kikombe?😂😂😂😂
 
Huu Msafara wa loliondo
uliizidi ule msafara wa urusi km 64 uko Ukraine[emoji28]
images-906.jpg
images-907.jpg
 
Back
Top Bottom