AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Tina ndiyo mke wangu na tuna mtoto mmoja wa kike!
Enzi hizo Jambo forum balaa ilikuwa,mwanzilishi wa hii kitu kijana wetu Max Melo siku hizi mambo yake mazuri anapaka poda hata watu wake sisi hatukumbuki kabisa ahahahaha
Asante sana Sizinga kwa kutukumbusha kumbukumbu hii. Enzi hizo upuuzi kama huu ulikuwa hadimu sana.
Enzi zile kulikuwa na mzee Thinkpad, Mtanzania, Maxshimba, Pingilingombe, Shy bajukwaa la dini kiingilio kilikuwa zeroo yaani full kujiachia.
wengi sijui walibadili ID zao au walipotea moja kwa moja.
Kipindi kile hakukuwa na chitchat jukwaa la wakubwa liliwekewa alama ya mkasi
Mmenikumbusha akina Pundit, Blueray, Mshihiri, Naima na wengine wengi. JF ilikuwa haichoshi wala kuchefua.
Sie wengine bado tupo ila tunatembelea JF kutokana na mazowea tu, maana huo u-CCM vs u-CHADEMA umeiteka kabisa JF. Nadhani kuna haja ya kitu kama Operesheni Kimbunga au Operesheni Tokomeza (minus ukiukwaji haki za binadamu na mauaji) ili kuirejesha JF katika zama zile zilizoifanya unmissable.
Kabla ya jambo forum kulikuwa na bsctimes, na kabla ya bsctimes kulikuwa na tanzanet, hizi zilikuwa forums zilizokwenda shule. Jambo radio kulikuwa na DJ Sure (if I remember correctly) pia tulikuwa tunaweza kusoma post au kujibu bandiko huku mziki unapiga. Kila ukikiingia Tanzanet ulitakiwa uandike "Subscribe" na "Unsubscribe" unapoondoka. Far we come from.
Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao
Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that
Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data
Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY
Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.
Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:
Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF
[*]Kipindi kile mtu ukigonga kopi buku(thread 1000) ulikuwa unatangazwa hapa na mods...tunakupa ma-congratulation kibaooo!!lakini siku hizi wapi bana!!
[*]Kipindi kile watu walikuwa wanakupotezea tu, hawagongi thanx wala nini, na hii haijalishi mtu, hata kama thread imeanzishwa na Invisible watu wanasoma wanakupotezea tu..rejea
[*]Kipindi kile ukichoka kusoma forums basi we ulikuwa unaenda jukwaa la music tu...aagh full burudani, nilikuwa napenda sana kusikiliza zilipendwa akina Mbilia Bel, Franco, Remmy ongala, Taarab n.k...dah siku hizi hamna kitu, nikichoka kusoma naizima laptop yangu.
[/LIST]
- Mzee Mwanakijii ndio alikuwa the greatest seeder of all times...hope mpaka leo hii namuappreciate.
Tunaweza kuongezea mengine na mengine....:blah::blah::blah:
- Kipindi hicho members wengi walikuwa kikazi zaidi tofauti na sasa asilimia kubwa ya threads zipo kimapenzi/kimahaba zaidi....(ooh samahani kwa hili MMU)
Mkuu,
JF ya sasa haina mashiko hoja ni CCM na CDM na udini.Mimi siku hizi kusema ukweli JF sio source yangu ya news kama zamani na huwa naweza kumaliza hata miezi miwili sijaingia JF.Hamna jipya.I really miss Jambo forum
uwa nawakubali sana member wa 2009 kushuka chini wengi walikuwa great thinker,ata leo ukibahatika kusoma comments zao utafurahi sana!!
ila siku hizi kuna bavicha,lumumba,uislam vs ukristo,team lowasa,team wekapicha,team bazazi naupuuzi mwingine mwingi kama huu hapa jf
itakuwa ni vizuri kwa sisi member wageni tujifunze kupitia thread za wakongwe hapa JF jinsi walivyokuwa na nidhamu