Tujikumbushe katuni hii ya Kipanya

Tujikumbushe katuni hii ya Kipanya

Ukoo wa panya huu; baba mwizi, mama mwizi, kaka mwizi, dada mwizi, shangazi mwizi, mjomba mwizi, babu mwizi, bibi mwizi!
 
Hii nchi haina kiongozi, na ajabu zaidi ni pale unapoona wadhaifu kama yeye nao wakisema wana ndoto za kwenda ikulu, tumegeuzwa kama makatuni wakufanyiwa majaribio na kila mjinga.
Product za mzee kikwete hizi. Toka lini mfu akazaa binadamu. Kikwete ni mfu anayetembea.
 
Ripoti ya CAG inahakisi katuni ya kipanya wanakula kwa starehe , system mzima za mawizarani na mashirika ya serikali yamekaa kiwizi tu ukiingia lazma uungane nae la sivyo unakufa au unashushwa cheo kwhy system mzima imekua corrupted
 
Product za mzee kikwete hizi. Toka lini mfu akazaa binadamu. Kikwete ni mfu anayetembea.
Haya ni matusi makubwa sana au kebehi mbaya sana kwa kiongozi aliyelitumikia taifa kwa mafanikio pamoja na madhaifu ya kibinadamu.

Hivi nyinyi sukuma gang inakuwaje mnazigeuza siasa za Tanzania kuwa kama za kwenu Burundi?
 
Kuna watu wanazichezea pesa za nchi ilihali kuna wengi wanauhitaji wa hizo pesa.
 
Back
Top Bottom