KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Yeah mkuu, mtu mzima hatunaye tena!
Ooh ni huzuni, na Blanca wife wake yu wapi yeye
Yeah mkuu, mtu mzima hatunaye tena!
Duh! You have really made my day....Fermented sumu ilikuwa noma hata mimi nilikuwa mhanga wa hiyo new invention!
Btw,ni kweli Mzee Mtui alitangulia mbele za haki some years ago...RIP.
Vipi kina Frank Mdimi(FAM) na vibwozo vya kitei???
Where are guys like Mgaywa wa Magafu??
Aisee hii imenichekesha sasa, hii nadhani ilikuja baadae. Sisi hatukuiacha.
Bravo G la N!
Wana ilboru tuje tuunde alumni ya ki jf.
Wenu mtiifu,
Bishanga abashaija
Pcm ilboru enzi za headmaster mushi.
Sasa tunaye General Mutabuzi huyu MKUU ni noma sana, namaanisha hafai kwa ustawi wa hii shule
Naunga mkono hoja
jamani wapendwa,mwl Losujaki hatunae tena kafariki jumanne ya wiki hii asubuhi.tarehe 20/03/2012.atazikwa jumamosi ya tarehe 24/03/2012 kule kwao Sombetini.RIP LOSUJAKI.
wamenye..! hv ule msalaba wa pale dh maustaadh walifikia wap kuutoa!
Kweli Rajao hafananii na wamenye kabisa .Ila anaweza akawa ndiye Mwigulu Nchemba aisee-maana naye ni mmenye aliyeasi.Kaamua kuitumia elimu yake/kipaji chake kujinufaisha wakati taifa lilituweka pamoja umenyeni tuje kuikomboa nchhi
Msalaba upo palepale................!
jamaa alikua mtemi balaah!...ingawa ktk somo la historia alikomalia madenti kuandika essay kwa mpangilio,si ajabu paper ya muhula ikawa ni maswali ya essay tu.