Ngoma mbaya sana, imeua watu wengi wenye dream nzuri za maisha.
Msururu wa viongozi waliofuata kufa baada ya Amina ni mkubwa sana. Tuliwaona wengi wakienda kwa Babu Loliondo ili kupata tiba ya faster faster.
Nimeshangaa kuona mpaka mfalme Zitto naye anatajwa kuwa alikuwa anamlamba Amina Chifupa. Sasa sijui kama alikuwa anatafuna Live au recorded.