badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,757
Donald Trump aliingia mkataba na mwenyekiti wa WWE kipindi hicho Vince Mcmahon ambapo wali BET atakae shindwa pambano ananyolewa nywele zake. Hii ilijulikana kama The Battle Of the Billionaires hapo ndipo nilopoanza kumpenda trump.
Gemu ilikuwa kali sana kwani Trump aliwakilishwa na mkali Black America Bobby Lashley misuli minene na upande wa vince aliwakilishwa na The Great marehemu Umaga.
Kwa wakati huoTrump put his reputation and his hair on the line to start a fued with WWE Chairman Vince McMahon kwani atakae shindwa ananyolewa nywele hadharani mbele ya mashabiki 80,000 waliohudhuria mechi ile.
Trump aliweza kushinda mechi ile kwani Boby Lashley aliweza kumpiga umaga.
Trump alimnyoa nywele hadharani Mcmahoni kitendo kilichompa fedhea mpaka aka fake his own death.
Wapenzi wa mieleka mnakumbuka hili tukio? mwageni mchele Rais Trump noma.