Tujikumbushe anga za uswahilini

Tujikumbushe anga za uswahilini

Gambamala

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
1,045
Reaction score
766
Maisha ya Uswahilini yana mambo, ukiwa kwenye nyumba za kupanga, unamuona jamaa kashikilia kikopo kidogo kikiwa na Maji anaelekea Toilet.

Unajiuliza hayo maji kwenye kikopo kidogo kinatosha kujisafisha na kufrash toilet baada ya kukata gogo.

Umewahi kuona hii.
 
Vyoo vya uswazi havihitaji ku-flash, kazi ni kulenga tu, ukisikia ntuuu! ujue umepata.
c.c MSALANI
 
Radio sauti ikiwa juu, inaashiria mtu ''anaua''.
 
asilimia kubwa ya watanzani ni masikini na kipato cha kawaida

mpaka leo najiuliza kwanini watu wengi humu wana maisha mazuri

nipo hapa na KikulachoChako tunabeba zege kidogo
 
Last edited by a moderator:
Maisha ya Uswahilini yana mambo, ukiwa kwenye nyumba za kupanga, unamuona jamaa kashikilia kikopo kidogo kikiwa na maji anaelekea Toilet. Unajiuliza hayo maji kwenye kikopo kidogo kinatosha kujisafisha na kufrash toilet baada ya kukata gogo?

Umewahi kuona hii?

Yaonekana mgeni pande hizi eh! Yaani uswazi na vyoo! Kopo latosha kabisa, ni kwa ajili ya kujisafishia. Vyoo vingi uswazi ni vya shimo, havihitaji maji ku-flash.
 
asilimia kubwa ya watanzani ni masikini na kipato cha kawaida

mpaka leo najiuliza kwanini watu wengi humu wana maisha mazuri

nipo hapa na KikulachoChako tunabeba zege kidogo
Swadakta mkuu MO11 tuongeze spidi si unajua mzigo haulali.....baadae tumpitie miss chagga na Mafikizolo tukatumie pale kwa macheni.........au vipi mkuu wa kazi..........
 
Last edited by a moderator:
Maisha ya uswahilini yanataka uwe na roho ya kininja....watu wanakula katikati ya mchana na usiku......kukuta watu wanapigana wakigombania ubwabwa wa shughuli ni jambo la kawaida....ukigombana na mkeo watu mtaa mzima wapo dirishani wanataka waone mnavyopigana......kila baada ya neno lazima kuwe na tusi tena ni tusi zito.......wakina mama kumwaga radhi ni jambo la kawaida..hata kama ni mbele ya watoto zao.....uswahili watu wana ndoto za kuishi maisha mazuri lakini kufanya kazi hawataki........heshima ni bidhaa adimu sana uswahilini.......si ajabu la ajabu kukuta familia ya watu zaidi ya kumi wanakaa chumba kimoja........
 
Uswahilini watu wanajua mambo yako kuliko hata unavyoyafahamu wewe mwenyewe..........
 
uswahilini ukioga mchana wanakuukiza unaenda wapi?
 
Back
Top Bottom