Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
SASA NDIO NARUD KUKUAMBIA UMEDANGANYWASawa sawa kabisa na kwa kadri unavyoweza kuchambua unaona 'Kutamani mke wa mtu mwingine' na 'Kutamani mali ya mtu mwingine' ni kitu kimoja?
Utachukua kitimoto kilo ngapi leo?Ukinunua nyingi ntakuzawadia coca cola mbili za kushushia ukishibaNajua ukweli umekuingia , kisawasawa
Kwahiyo hiyo amri haiko fupi fupi au siyo?SASA NDIO NARUD KUKUAMBIA UMEDANGANYWA
HIYO AMRI HAIPO FUPI FUPI HIVO,
MUNGU ameanza na hoja USITAMANI, halafu anaorodhesha vitu ambavyo hutakiwi kutamani
WAROMA WAKAIGAWA,
Amri ya PILI inasema USICHONGE SANAMU,Ngoja niandike kifupi.
Kwako wewe miungu wengine ni ipi?
Kwako wewe sanamu ni ipi?
Miungu wengine siyo sanamu?
Hoja sio ufupi,Kwahiyo hiyo amri haiko fupi fupi au siyo?
Ila amri ya kwanza ni fupi 'Usiabudu miungu wengine ila mimi' halafu ya pili ndiyo ndefu?
Aroon ndiyo maana nakwambia una tatizo la kupaniki. Kama siyo hivyo ni unajua vitu vingi kiasi kwamba haujui wapi ukiweke kipi.Amri ya PILI inasema USICHONGE SANAMU,
JE KILA miungu inachongwa?
Sanamu ni miungu uliyochongwa, ila sio kila miungu INACHONGWA
USISOME JUMLA JUMLA
AMRI IMEANZA "USICHONGE SANAMU"
kitu ambacho waroma hawakupenda maana wanachonga sanamu
Hoja ya ufupi umeianza wewe.Hoja sio ufupi,
AMRI YA KWANZA NI KUTOKA 20:3
YA PILI INAANZA MSTARI WA 4
WAROMA AMRI YA KUMI AMBAYO NI KUTOKA 20:17
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
WAMEIGAWA ILI ZITIMIE KUMI,
SASA NDIO NARUD KUKUAMBIA UMEDANGANYWA
HIYO AMRI HAIPO FUPI FUPI HIVO,
MUNGU ameanza na hoja USITAMANI, halafu anaorodhesha vitu ambavyo hutakiwi kutamani
WAROMA WAKAIGAWA,
Kwahiyo amri zipo 17 .. Amri ya mungu ni moja ambayo ni upendoKutoka 20
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
13 Usiue.
14 Usizini.
15 Usiibe.
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Ndugu mbona unakimbilia kusema napaniki?Aroon ndiyo maana nakwambia una tatizo la kupaniki. Kama siyo hivyo ni unajua vitu vingi kiasi kwamba haujui wapi ukiweke kipi.
Kweli maswali 3 yanaonekana vyema unayazunguka kiasi hicho? Hebu jibu vizuri. Mfano jibu la kwanza andika tu miungu wengine ni Arnold au Mwanajeshi, sanamu ni magari n.k. jibu clear na fupi.
Kwako wewe miungu wengine ni ipi?
Kwako wewe sanamu ni ipi?
Miungu wengine siyo sanamu?
Mh hatutafika kama ninachokuuliza hutaki kukijibu unakua unataka kuzunguka tu.Ndugu mbona unakimbilia kusema napaniki?
Nimekuuliza Amri ya kwanza inasema USIWE NA MIUNGU MINGINE
YA PILI
USICHONGE SANAMU...
kwanini unalazimisha ni kitu kimoja?
Nimekupa CODE ya kufungua ubongo wako, nimesema
Kuna miungu ,lkn sio kila miungu inachongwa ,HIVO USIACHE NENO "USICHONGE"
Na ndilo KANISA LA ROMA walilikimbia hilo neno USICHONGE SANAMU ii tu wachonge bila kuulizwa,
Wakaenda amri ya KUMI ambayo ipo FULL PACKAGE wakaigawa
Amri yenyewe hii hapa
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
Hoja ya ufupi umeianza wewe.
Katika kitabu cha Kutoka hakuna mahali iliyoashiria kwamba hapa sasa ndiyo mwisho wa amri ya kwanza tunaingia ya pili.
Aliyekwambia zipo 17 nan?Kwahiyo amri zipo 17 .. Amri ya mungu ni moja ambayo ni upendo
Hiv nazunguka au umekomaa na kaneno kamoja?Mh hatutafika kama ninachokuuliza hutaki kukijibu unakua unataka kuzunguka tu.
ni zipi hizo sema sassHizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,
Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
Nilisema mimi kua una tatizo la kupaniki, unaona umeniquote na kunijibu kitu kisichonihusu?Aliyekwambia zipo 17 nan?
Ni kwakuwa hujataka kusoma na kuelewa ,ila zinajieleza hii inaishia hapa na kuanza nyingine,Hoja ya ufupi umeianza wewe.
Katika kitabu cha Kutoka hakuna mahali iliyoashiria kwamba hapa sasa ndiyo mwisho wa amri ya kwanza tunaingia ya pili.
Sasa natoa wapi wito wa kukujibu kama nimekuuliza swali moja mara nne, nimelirahisisha mara mbili na bado kujibu hutaki badala yake unaanzisha wewe maswali?Hiv nazunguka au umekomaa na kaneno kamoja?
Nimekuuliza Kila miungu ni SANAMU iliyochongwa?
Mbona unakimbilia napaniki wakat mm nipo poa? Sijakuquote wewe, nimekosea nime quote wawili, sasa ndio kupaniki?Nilisema mimi kua una tatizo la kupaniki, unaona umeniquote na kunijibu kitu kisichonihusu?
Unajibiwa ila hutaki kukubali kwakuwa una majibu ya katekistaSasa natoa wapi wito wa kukujibu kama nimekuuliza swali moja mara nne, nimelirahisisha mara mbili na bado kujibu hutaki badala yake unaanzisha wewe maswali?
Elewa.Ni kwakuwa hujataka kusoma na kuelewa ,ila zinajieleza hii inaishia hapa na kuanza nyingine,
Haya tuubganishe bas hiyo ya miungu mingine na Kuchonga sanamu,
Mbona zitakuwa 9
Ya kumi itakuwa ipi?
Tumalize mjadala
Hizi ni amri za Roman Catholic Na Papa wenu mnayemuita mtakatifu. Za kwenye biblia zinapatikana katika kitabu cha Kutoka 201.Usiabudu miungu wengine.
2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
3. Shika Kitakatifu Siku ya Mungu wako
4. Waheshimu Baba na Mama, upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya watu.