Soma 2Wakorintho 6:16-18Kuchonga sanam ambapo katka maana usiabudu miungu wengne (miti, ng'ombe, shetan)
Lakn unaweza kujiulza sanam za kanisa katorik zinakuaje sasa? Ule n utamadun tu wa watu wa Israel ambapo kuweka sanamu haimaanisha kwamba maombi yanaenda kwa hzo sanam n mapambo tu ya kikanisa zaid
Kuna swali nimeuliza hapo naomba majibuHizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,
Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
Hizi ni Amri zilizochakachuliwa na kanisa la ROMA ,
Watu maelfu mmemezeshwa amri zilizochakachuliwa na kuwekwa kwenye katekisimo, Zile Amri kumi ORIGINAL alizopewa musa pale SINAI, zipo kwenye biblia hata hamtaki kuzifatilia ,mfananishe na hizo za PAPA
Mtoto humuiga baba,Hivi nyie ndugu zetu hamwezi kuleta hoja kwenye jamvi bila kutukana ? au huko mnakoabudu mmeaambiwa ili mpate wafuasi wapya ni lazima mlisemee vibaya Kanisa Katoliki ? mnataka kutuaminisha wote imani yenu ili tuhamie kwenye hicho kikundi chenu cha ujasiriadini? imenibidi nianze na haya maswali kwanza kwa kuwa kila thread mnayoanzisha ni kutukana Kanisa Katoliki pamoja na Uongozi wake. SILILIZA NIKWAMBIE ndugu yangu, kutumia nguvu nyingi kudhihaki imani za watu kwenye mitandao, ni ishara ya mtu mwenye kiwango hafifu zaidi cha uelewa. Kwa nini msiwe wastaarabu mkaendelea kumtumikia Mungu kwa imani hizo mnazozisadiki pasipo kuleta bughdha kwa watu wengine na kujiona ninyi ni watakatifu na ni watu ambao hamna hatia ? Kanisa Katoliki ni Taasisi kubwa ambayo ipo chini ya himaya ya UTATU MTAKATIFU WA MUNGU, haliwezi kuyumba, halikuwahi kuyumba na halitayumbushiwa na mtu au kikundi cha watu wenye nia ovu ya kulichafua Kanisa kama wewe. HAMTAWEZA. Lakini pia sio ustaarabu kabisa kudhihaki imani za watu. Nyie mnaojua zaidi si mtulie na imani yenu ? pili pili usiyoila yakuwashia nini ?
Baada ya kusema hayo, nirudi kwenye maada yako, na nikushauri njoo ktk Katoliki hata kwa Semina tu, tukufundishe neno la Mungu ili uache kuishi kwa kukariri wewe na watu wa aina yako. Sitaweza kuelezea hapa kwa kuwa ni maada ndefu. Ila milango iko wazi ndani ya Kanisa, njooni tuwapige neno, bila shaka mtaelewa. Wakati mwingine kuyaelewa maandiko Matakatifu, inahitaji nguvu ya Roho Mtakatifu. Kinyume na hapo mtaendelea kukariri. Wakati mkijipanga kuja kwenye semina zinazoandaliwa na Kanisa (mkitaka), endeleeni kwanza kupitia vifungu hivi vya Biblia ; Warumi 10: 4, Wagalatia 3: 23-25, Waefeso 2: 15.
Nawashauri pia kujaribu kuwa wastaaraba ba kuacha kushambulia imani za watu, hata Mungu hapendi. Mungu atubariki sote na amani itawale.
Waisrael wa nchin israelWewe na wewe acha kutulisha matango pori...waisraeli wa wapi hao unaowazungumzia?
Ambao uchonga sanamu na kuziweka kwenye masinagogi na kuziabudu?
ASANTE
SawaSoma 2Wakorintho 6:16-18
Labda nikuulize, ww ulvyojiuliza umegundua nn? Ili wasipingwe na wapagan katka kuueneza ukristuUlishawahi kujiuliza kwanini Amri inayokataza kuchonga sanamu waliiondoa?
Hahahah11.Usiteke
Maelezo yake ,
Maana kila atekaye husababisha taaruki kwa familia
Hivi nikwamba kiswahili ndio shida kwako au vipi, maana kwa namna ulivyo ziandika amri kumi za Mungu ni dhahiri umekosea kabisa, na usipo angalia hutaenda mbinguni kwakosa la kupindisha maneno ya amri kumi za Mungu1.Usiabudu miungu wengine.
2. Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
3. Shika Kitakatifu Siku ya Mungu wako
4. Waheshimu Baba na Mama, upate miaka mingi na heri duniani.
5. Usiue
6. Usizini
7. Usiibe
8. Usiseme uongo
9. Usitamani mwanamke asiye mke wako.
10. Usitamani mali ya watu.
Hiyo ni amri au ni maelezo ya amri ya kwanza? Wakati napata kipaimara (Lutheran) tulitakiwa kukariri huo mstari wa Kutoka na hayo yalikua ni maelezo. Ingetambulika kama amri siyo ingefanya amri kua 11?Ulishawahi kujiuliza kwanini Amri inayokataza kuchonga sanamu waliiondoa?
Kweli umedangwanywa ukadanganyika, hiyo ni amri inajitegemeaHiyo ni amri au ni maelezo ya amri ya kwanza? Wakati napata kipaimara (Lutheran) tulitakiwa kukariri huo mstari wa Kutoka na hayo yalikua ni maelezo. Ingetambulika kama amri siyo ingefanya amri kua 11?
Ili wachonge na kuabudu Masanamu haya bila kuulizwaulizwa, maana tayar wanakuwa wameshawamezesha waumini ,Labda nikuulize, ww ulvyojiuliza umegundua nn? Ili wasipingwe na wapagan katka kuueneza ukristu
Una tatizo la kupaniki. Kuna swali hujalijibu mwisho.Kweli umedangwanywa ukadanganyika, hiyo ni amri inajitegemea
Ya kuchonga sanamu, na usiwe na miungu mingine ni amri 2 tofauti, Roma waliiondoa hiyo Ya KUCHONGA SANAMU ili wapate nafasi ya kuchonga na kuabudu haya mavinyagoView attachment 904473
Mkuu wala sijapaniki ila hukubalian na hoja una kitu kichwan, hebu toka nje ya box tujadiliane, nimekupa had mfano,Una tatizo la kupaniki. Kuna swali hujalijibu mwisho.
Nimeonyesha encounter ya mimi na huo mstari ilipoanzia. Nimeeleza kwamba, kwa amri ya kwanza ilivyo hiyo ni maelezo ya ya kwanza.
Nimeuliza kama hiyo ikihesabiwa ni amri si zitakua 11? Kama zikiwa 11 mbona Musa mwenyewe alisema amri ni 10?
Hebu jaribu kuelewa na mimi ninachoandika.Mkuu wala sijapaniki ila hukubalian na hoja una kitu kichwan, hebu toka nje ya box tujadiliane, nimekupa had mfano,
Nimekwambia hiyo ni Amri na sio maelezo,
Amri zipo Kumi sio Kumi na moja
Walichofanya WAROMA, amri ya kuchonga SANAMU WAMEIONDOA KABISA
AMRI YA KUMI WAKAIGAWA MARA MBILI.ILI KUFIDIA ZIWE KUMI ,
Fananisha amri za Biblia na za katekisimu,
Amri nyingine walioibadilisha kabisa ni AMRI YA 4
Mbona simple tu na ipo wazi, angalia juu kule nimeziandika AMRI ZA MUNGU na ZA KATEKISIMU(ZA PAPA)
NIMEZIFANANISHA MOJA BAADA YA NYINGINE ,View attachment 904495