Tujihadhari na wachungaji/Manabii/Mitume wa uongo

sijawahi ingizwa mkenge na na hao mabazazi ni
kwasababu sijaathirika kisaikolojia kutokana na matatizo ya dunia hii( maana ukichunguza wengi waendao huko wanahadaiwa kwa ajili ya matatizo ama ya ndoa au mengineyo)

hata kanisa langu lenyewe la katoliki naenda kwa mbinde ije kuwa kwa tanganyika packers kukaa uwanjani zubutu hakuna mbegu na panda aloo sorry😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Hahahaha yakikupata ujue pa kupeleka. Najua wapo watumishi wa kweli japo ni wachache sana but most of prophets ni fake lakini haimanishi hawapo kabisa lakini utawatambua kwa matunda yao na sio matendo...
Mtu anaweza kutenda jambo jema lakini kwa nia mbaya.
Biblia inasema tutawatambua kwa matunda tuu kwani mwembe huwezi kuzaa chungwa.
Watu wajihadhari kwani tunaudhalilisha ukristo kupitia hawa watu.
Na wew acha uvivu hudhuria misa kanisani kwako alaaa
 
siendi tuu na mapadre nao wanatukonyeza siku hizi mechoka kabisa nasali kitandani
 
Raha ya mwanamke ni kuona midume inamkodolea,inaomba namba,inamkonyeza,inamsifia,inamtongoza, bila hayanaenda kuoga mikosi kwa waganga na wengine wanapakuliwa na waganga ila sio florra.
Kwanini haya?
Mko kwa ajili yetu nasi kwa ajili yenu.
Ukikonyezwa sema asante Mungu umeniumba navutia,sio lazima utoe
 
nikonyezwe na mchunga kondoo wake halafu niseme asante hapana hapana hapana mapadre sigusi
 
nikonyezwe na mchunga kondoo wake halafu niseme asante hapana hapana hapana mapade sigusi
Acha kuwasingizia bhana padre hawakonyezi, mbona wanafanya kazi na mabikira/masista bila shida flora?
 
Ni kweli wanawake ndo wahanga wakuu wa hili tatizo. Tena kama wakimteka mama aliye kwenye ndoa lazima kutokee misukosuko ya hatari ndoani. Hawa manabii hawafai kabisa. Nina hasira nao balaa
 
siendi tuu na mapadre nao wanatukonyeza siku hizi mechoka kabisa nasali kitandani
Usiache kwenda kanisani flora msoffe huko utapata mibaraka zaidi. Tatizo ni hawa wahuni walioingia hadi kanisani ila ni sehemu sahihi kusalia. Yesu pia alikuwa anaenda.
 
Wengi siku hizi wanashindana kuwahi airtime kwenye tv au radio wapate vipindi.Ili wakamate zaidi vichwa.Kwenye vipindi vyao huwa wanaweka namba ya mihamala ya pesa(tigo-pesa,m-pesa,airtel money,namba ya account ya benk)
 
sijawahi ingizwa mkenge na na hao mabazazi ni
kwasababu sijaathirika kisaikolojia kutokana na matatizo ya dunia hii( maana ukichunguza wengi waendao huko wanahadaiwa kwa ajili ya matatizo ama ya ndoa au mengineyo)

hata kanisa langu lenyewe la katoliki naenda kwa mbinde ije kuwa kwa tanganyika packers kukaa uwanjani zubutu hakuna mbegu na panda aloo sorry😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
😀😀😀😀
 
Ukiitiwa Fursa Wewe Ndiyo Fursa Yenyewe
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
😡😵♣😳
 
Hapa mmegusa penyewe. ndugu yangu hata watoto hakai nao anazunguaka akisema anaeneza injili.. sasa injili ambayo haikupi fursa ya kukaa na familia yako...
 
Wanawake wengi ndo wahanga wakuu wa hili tatizo.

Sidhani kama umefanya utafiti vizuri. Mwanamke aliyeolewa aharibikapo, aliyeathirika zaidi ni mume na familia. Ila, sipendi lawama zisizo na ushauri. Je, unashauri nini kifanyike?? Umewahi kujiuliza, Kwa nini hawa wanawake hukimbilia huko huku kukiwa na misaada tele ya kisheria?? Nadhani wana kitu hupata huko japo sisi hatukioni
 
Back
Top Bottom