Tujifunze video shooting & editing

kaka me pia natumia vegas tatizo ni video clip za digital camera ndogo hazi kubari lakini pia nikiziconvet mala zinapoteza sauti, mara zinacheza kama audio du! zimenishinda so nifanye nini ju ya hili?

ktk ku-convert inatakiwa itoke kwa format ya avi au dvd mpeg.au njia nyingne Mara nying mimi naconvert kwa ku2mia ulead video studio.kama unayo fanya hv
a)fungua ulead video
b)import clip zako kama ni format ya dvd.vob italeta meseji ya ku-pre render then ikimaliza utaiweka ktk timeline na ku render tena kwa format ya avi.baadae ukiipeleka tena kwenye vegas lazima ikubali 2. nb:kama clips zako sio dvd.vob uki import tu zinaenda kwenye timeline moja kwa moja.Nayo una render kama kawaida (avi format) kisha unaipeleka kwenye vegas.Kazi imekwisha.Usisite kunipa data kama kuna tatizo
 
mbona sijaona ujuzi wowote uliotolewa au ndo huko mpaka kutafutana na PM's..!!? mi nilifikiri nia ni kupeana maujuzi hapa waziwazi kumbe ndo hivi..!?? lah...
 
mbona sijaona ujuzi wowote uliotolewa au ndo huko mpaka kutafutana na PM's..!!? mi nilifikiri nia ni kupeana maujuzi hapa waziwazi kumbe ndo hivi..!?? lah...

naona movie making sio kipenzi chako kaka kijana ameshuka nondo au we ujasoma hapo. Ka vp subilia mada unazozipenda utachangia eee!
 
Mkuu nina hamu sana na after effects, ninayo CS5 kwenye MacBook Pro lakini sijui kuitumia natamani nipate mtu anipe basics, tushirikiane jamani tuibuke kidedea kweny nga hizi. PM inafuata soon.
mimi pia ninayo cs3 ila ni ya windows sasa nimejifunza kupitia tutorial na mpaka sasa nina idea nayo tofauti kabisa na nilivyopata mwanzo.jf imenipa mwangaza
 
Back
Top Bottom