Mkuu kwenye Google inaweza ikawa ngumu kwa sababu zinauzwa mimi nilizipata kwenye pyrate sites. Jaribu Torrentz.com au The Pyrate Bay.org . Utapata version yoyote unayoitaka ila uwe umeinstall Bitlord , Bittorrent au U Torrent
Nimetengeneza hiyo hapo.
Mnaweza mkasikiliza hapo hiyo Demo..
Wakubwa kwanini tusiwe tunakuta hapa kushauriana na kutupia BEATS zetu hapa ili tushauriane nini cha kufanya au kuongeza kwenye hizi kazi zetu?
Kram Billz
Deejay nasmile
eliasmushi
kasaloo
Yeah ni wazo zuri pia @magnifico mimi nadhani huu mchakato ni tayari umeshaanza cha msingi ni kuuendeleza.
Kuna vst nyingi ambazo zinatofautiana katika features zake ila zina kazi moja.
Vst's ambazo nimeona watu wengi hupenda kuzitumia katika kufanya final mastering ni Izotope Ozone n T racks na hii T racks unaweza kuitumia km standalone vst so unaweza kuanza mastering na Izotope thn ukamalizia na T racks
Wakubwa kwanini tusiwe tunakuta hapa kushauriana na kutupia BEATS zetu hapa ili tushauriane nini cha kufanya au kuongeza kwenye hizi kazi zetu?
Kram Billz
Deejay nasmile
eliasmushi
kasaloo
Nimetengeneza hiyo hapo.
Mnaweza mkasikiliza hapo hiyo Demo.
Safi, ni style fulani hivi ya rap, crunk ila naona ingekuwa poa zaidi ungetoa hiyo vocal ya mtu then ibaki instrumental yenyewe, kick 808 ipo gudi gudi, hats zimekaa vile vile ngoja tuone wengine wataizungumziaje magnifico
Kwa wale ambao wanahitaji T Racks kwa ajili ya kufanyia mixing and mastering katika kazi zao nimeupload kwa ajili yenu so unaweza kudownload kupitia link hiyo hapo chini. Kama kuna matatizo yoyote katika installation process usisite kuuliza
NB: Hii ni cracked version so ni original sio demo.
IK.Multimedia.T-RackS.CS.v4.1.UNLOCKED-R2R

Eti wakuu, hivi ni duka gani hapa town linalouza midi keyboard na mixer kwa bei nafuu? ukiachana na lile duka la Aggrey Kariakoo
Nimesha install T racks ila nashindwa kutumia, inamaana audio file na import pale au nikaitumie kule kwenye FL?