Kram Billz
Member
- Dec 1, 2012
- 75
- 59
Unatumia program gan gani mkuu kwaajili ya retouching?Habari zenu wakuu,
Nimeanzisha huu uzi maalumu kwaajili ya kubadilishana ujuzi kuhusu tasnia ya photography na retouching. Hivi vitu viwili huwa vinaenda sambamba na huwa vinategemeana kwasababu ili kufanya picha yako iwe na muonekano na ubora mzuri utahitaji kuiretouch hiyo picha na pia huwezi kuretouch picha ambayo imepigwa chini ya ubora. Mimi binafsi ni photographer na retoucher ila katika tasnia hii inanibidi nijifunze kila siku ili niweze kuongeza ujuzi zaidi kiufupi hakuna mwisho wa kujifunza.
Napenda kuchukua fursa hii kutoa nafasi kwa yeyote mwenye swali kuhusu mada hii aulize bila wasiwasi na kwa pamoja tunaweza kusaidiana. Na nitakuwa najaribu kutuma some tips and tricks ambazo zinaweza kutusaidia katika tasnia hii. Karibuni
Hii ni sample kati ya moja ya kazi zangu ambazo nimefanya ikiwa ni kabla na baada ya kuifanyia retouching
Habari zenu wakuu,

Mkuu vipi kuhusu app nzuri ambazo zinaedit picha zikawa na muonekano wakuwa na rangi nyeupe background
Habari zenu wakuu,
Hii ni sample kati ya moja ya kazi zangu ambazo nimefanya ikiwa ni kabla na baada ya kuifanyia retouching
Unatumia program gan gani mkuu kwaajili ya retouching?
Mi nimeanza kujifunza photoshop kidogo kidogo siku hizi!
mkuu ungeanza kutuambia reouch ni nini ,ili na sisi tusiokuwa kwenye tasnia hiyo tuelewe
Adobe photoshop inaweza ikafanya yote hayo ugumu unakuja kwenye kujifunza kutumia tools ambazo unaweza ukafanya unachokitaka.Mkuu vipi kuhusu app nzuri ambazo zinaedit picha zikawa na muonekano wakuwa na rangi nyeupe background
umefik pazuri, ila kwa ajili ya ukaribu sana. why tusitengeneze ka comunity hta group tuwepe kuwa karib zaid Generate group then wek link mkuu
ni u serius tu, lets creat our comunity brooooNi wazo zuri sana ila kwa uzoefu wangu katika magroup mengi kunakuwa na masiala na watu hawapo serious so mwisho wa siku huwa linakufa na nisingependa itokee hivyo.
Naomba kuuliza camera gani naweza kuanzia , pia printer ya aina gani ni nzuriHabari zenu wakuu,
Nimeanzisha huu uzi maalumu kwaajili ya kubadilishana ujuzi kuhusu tasnia ya photography na retouching. Hivi vitu viwili huwa vinaenda sambamba na huwa vinategemeana kwasababu ili kufanya picha yako iwe na muonekano na ubora mzuri utahitaji kuiretouch hiyo picha na pia huwezi kuretouch picha ambayo imepigwa chini ya ubora. Mimi binafsi ni photographer na retoucher ila katika tasnia hii inanibidi nijifunze kila siku ili niweze kuongeza ujuzi zaidi kiufupi hakuna mwisho wa kujifunza.
Napenda kuchukua fursa hii kutoa nafasi kwa yeyote mwenye swali kuhusu mada hii aulize bila wasiwasi na kwa pamoja tunaweza kusaidiana. Na nitakuwa najaribu kutuma some tips and tricks ambazo zinaweza kutusaidia katika tasnia hii. Karibuni
Hii ni sample kati ya moja ya kazi zangu ambazo nimefanya ikiwa ni kabla na baada ya kuifanyia retouching
Naomba kuuliza camera gani naweza kuanzia , pia printer ya aina gani ni nzuri
kwa sasa nimeanza kujifunza matumizi ya Adobephoto shop.
Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
Adobeshop inauwezo wa kuedit picture kama kutoa chunusi na kadhalika hebu mkuu tuma hats picture ya tool kwenye menu nione demo, napenda sana hii kitu na ni ndoto yangu kuwa na office ya hii. Safi mleta Uzi nakupa five star
ni u serius tu, lets creat our comunity broooo