Tujifunze kuwaheshimu viongozi hata kama hawakuwa chaguo letu,Chadema mnanisikia?

Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Mkuu kuwashauri au kuwaonya wanazi wa Chadema ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi,mwisho wako utaambulia viroba vya matusi na kejeli,wao Chadema na watu wao ni malaika hawakosi wao kwao hakuna zuri lifanywalo na serikali hii lakini ndio hao hao watumiaji wakubwa wa barabara zinazojengwa na serikali hii hii inayotukanwa,wao ndio wa kwanza kupanda ndege hizi hizi za ATCL ambazo kwanza walizikashifu,walidai mapanga shasha si kitu na kwa ujinga wao hawakujua mapanga shasha ndio habari ya mjini ,mashirika mengi kama Ethiopia Airline ,Rwanda Air na mengineyo huzitumia ndege aina hii kwa safari za ndani,na wakatabiri kuwa hazitaona jua,matokeo yake FastJet ndio chali,hawahawa wanaokashifu ndio watakuwa wa kwanza kupanda SGR.Nimebahatika kuwajua wengi wa wanazi wa Chadema,wengi wao ni wale waliochanganyikiwa,utakuta ni msomi mzuri na ana kazi nzuri lakini maisha yake duni,stress zake anazimalizia kwenye mitandao kwa kuilaumu serikali,wengine hawana kazi wanalishwa na wake zao hao utakuta wakati wote wapo mitandaoni na visimu vyao nao wanalalamika kuwa serikali haifanyi chochote na kujisahau kuwa wao ndio hawafanyi kazi,lakini hao hao wajomba zao wanasoma shule bure na ndugu zao wanatibiwa kwenye hospitali halafu ukuuliza unalipa kodi au unafanya kazi gani kuisaidia nchi yako,jibu ni kuwa ah kwani lazima ujue nafanya gani.Umesema Sugu,Lema ,Halima,hao wote ukiwaangalia wana matatizo hata nyumba zao wanshindwa kuziongoza,Sugu na mama watoto wake ambaye kila kukichwa tunamsikia mara kavaa pampas na vituko haviishi ,haya njoo kwa Halima huyu nae ni shida njoo Bulaya rafiki yake Halima hadi alihama CCM kumfuata mwenzake Halima ,haya huyo Lema nae magari yakimuona yanalia, kuna mwingine ndie mume wa Kiria ,huyu nae inadaiwa kawa anaendesha magari ya mahawara zake,sasa utatarajia nini kutoka kwa hao ''viongozi''ambao ndiowalitakiwa wawe mfano,si ajabu kuna wahuni wengi kwenye SACCOS,matatizo yao wanataka yatatuliwe na serikali wanaficha na kuhalarisha udhaifu na mapungufu yao kwa kulaumu serikali .
 
ukitaka heshima jiheshimu. yeye wapinzani wote huwaita wasaliti je wapinzani wap wamwiteje?? niambie siku alipopongeza wazo la mpinzani. zaid zaid alisema wapinzani hawastahili kuishi. kesho yake sijui ni baadaye yake unajua kilichomkuta lissu. sahiz anauguzwa hela ya serikali sio yake kakataa asipewe je yeye akiumwa watu wakishangilia utawalaumu??

tanguliza heshima utaheshimiwa
 
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Viongozi wasio heshimu katiba ya nchi ambayo ndio inayowapa madaraka hawasitahili kupewa heshima hata kidogo, pili viongozi walio chaguliwa kwa kura za wizi hawasitahili kuheshimiwa hata kwa sekunde moja. Maana kiongozi yoyote ambaye kapata ushindi wa kura kwa njia yoyote isiyo halali ni sawa na mwanaume anaye zini na mke wa mtu halafu ataka watoto wa baba mwenye nyumba wampe hadhi na sawa na baba yao. Kiongozi yoyote aliye patikana kwa njia za ujauja kama kutumia tume ya uchaguzi isio kuwa huru au kutumia police au wasimamizi kwenda kinyume na matakwa wananchi wengi, huyo sio kiongozi ni mwizi aliye jimilikisha madaraka asiyo yasitahili hivyo kumuheshimu mtu wa aina hiyo ni sawa na mtu aliye ibiwa kuheshimu aliye muibia.
 
Yaweza kuwa wananunuliwa sawa ,lakin je hoja wanazotoa zina hakisi yatendekayo chadema au?

Kuna mwandishi Nguli aliandika kwamba wanaohama wasibezwe Pascal Mayalla

Kama unakubali kwamba kuna uwezekano wananunuliwa, maana yake hizo hoja wanazotoa ni visingizio tu. haiwezekani mtu ununuliwe halafu utoe hoja nzito ya maana.

Lakini pia hoja nzima ya kuacha ubunge chini ya CHADEMA na kugombea tena chini ya CCM, katika nchi masikini namna hii, tena chini ya kiongozi anayejinasibu kupambana na rushwa na ubadhilifu, hata anafikia hatua ya kufuta sherehe za UHURU NA JAMHURI ili fedha ijenge hospitali, inakuingia akilini mtu huyu huyu ananunua wapinzani kwa hongo ya kawaida kabisa, na kisha kutumia mabilioni kwa chaguzi feki? si afadhali tu angeacha tukafanya kumbukizi yetu ya UHURU NA JAMHURI, tupate nafasi ya kujitafakari kama taifa? of course sisemi kwamba tuishie kwenye magwaride na maonesho ya makomandoo tu, lakini yapo mengi ya kufanya na ya maana kabisa.

Kama unaona kwamba haya yanayofanyika ni sahihi, basi tunatofautiana sana
 
..hii heshima ni ya upande mmoja tu?

..Ya wapinzani kuwaheshimu CCM na Magufuli?

..Je, wapinzani hawastahili kuheshimiwa na Magufuli na CCM?

..Je, Magufuli na CCM wanapongeza jambo lolote linalofanywa na wapinzani? Au huwapinga, huwahujumu, huwakandamiza, na kuwabeza wakati wote?

NB.

..Magufuli aliposema Jecha apewe nishani hukushangaa?
Dah
 
Baada ya kuwapinga pinga Lumumba siku kadhaa za nyuma naona wakaamua kukupa motivation kwa kukuandikia safari ya siku 10 kwenda Bangkok na Pattaya, Thailand kufanya sex tourism sasa umerejea nchini umekuta bandiko hilo kazi ya kwanza umepokea posho ya siku "chibuku" saba na kuambiwa ulibandike hapa.

Hongera na pole kwa safari kiongozi.
Nilienda Soi nana ila si Kwa mambo hayo
 
Baada ya kuwapinga pinga Lumumba siku kadhaa za nyuma naona wakaamua kukupa motivation kwa kukuandikia safari ya siku 10 kwenda Bangkok na Pattaya, Thailand kufanya sex tourism sasa umerejea nchini umekuta bandiko hilo kazi ya kwanza umepokea posho ya siku "chibuku" saba na kuambiwa ulibandike hapa.

Hongera na pole kwa safari kiongozi.
Pattaya Patamu Sana kule kuna Massage nilikuwa SOI 11 Hatari
 
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Ngoja siku itokee kiongozi ambake mkeo au akufunge kibabe ukabakwe na machizipoti gerezani huku kiongozi alokufunga akiwa anajilia mkeo ndiyo utaelewa MTU hueshimika kwa matendo yake sio cheo ama pesa zake fool!!!
 
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Vipi wapenzi wako Bashiru na Polepole mwelekeo ni mzuri??🤣🤣🤣🤣mnajifanya mna akili sana eeh
 
Heshima humiminika kwa anaye jiheshimu Na pia hukauka kwa asiyejiheshimu🤔
 
Na wewe hebu tutolee upuuzi hapa,na acha kuongea uongo,Magufuli hakushinda urais bali alishindwa kabisa,suala la kumpenda mtu ni personal, usilazimishe watu wote wampende Magufuli, kuwa amiri jeshi mkuu haina maana apendwe na watu wote,kuhusu matusi,hata yeye ni bingwa wa kutukana hadi mawaziri wake,na jina kichaa alijiita mwenyewe usitake kutwisha watu mizigo hapa.
Alijiita kichaa, mwehu, jiwe nk wasituchoshe wanajua kabisa alikuwa kichaa hata mNEC Diallo alisema wazi kabisa.

Tusibebeshane mizigo ya lawama isiyo ya kwetu. BTW he was really crazy.
 
Umenikumbusha jina la sizonje niliaha anza kulisahau. By the way trip ya north korea ipoje mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom