Tujifunze kuwaheshimu viongozi hata kama hawakuwa chaguo letu,Chadema mnanisikia?

Kiongozi Bora Lazima Atafuata Misingi Ya Kiuongozi Aliyokabidhiwa, Atakubali Kushauriwa, Atakubali Kukosolewa, Atakubali Kuwajibika Pale Atakapovurunda, Hatobagua Watu Wala Mawazo Yao. SIO LAZIMA ASIFIWE!

Ukiona Watu Wanalazishwa Kumsifia Kiongozi Fulani Ni HATARI SANA. Ni Lazima Tupate Watu Watakaoweza Kumkosoa Na Kumpinga Hadharani Ili Lile Kundi La Kusifia Lisije Likatupoteza.
Ni ngumu sana kumheshimu mtu anayekuwinda ili akuue
 
..yanayofanywa na serekali ya Magufuli ni mambo mabaya na hayafanyiki ktk demokrasia za wenzetu.

..kwenye nchi zenye demokrasia ya kweli viongozi wa vyama vya siasa na hata wafuasi wao hawafyatuliwi risasi na mabomu kama hapa kwetu Tanzania.

..ni bahati mbaya sana kwamba waTz tumeuzoea UDHALILISHAJI na UKATILI dhidi ya wapinzani. Tunaona serekali na vyombo vya dola wana haki ya kufanya hivyo kwa viongozi wa upinzani.
Lakin kwa awamu.hii.so sana kama ya kikwete
 
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Anayoyafanya Magufuli ww unaona ni sawa. Magufuli yeye anaheshimu raia wake???. Heshimu nawe utaheshimiwa. Rais gani mbaguzi. Ukishapata cheo cha urais unaachana na chuki unabeba wananchi wote na kuwaweka pmj. Magufuli anataka kuua Opposition ili ibaki ccm peke yake. Kwa akili yake ilivyo finyu anategemea kuwa ikibaki ccm peke yake hakuna atakaempinga wala kumsema anasahau kuwa hata yy na mkewe hawaelewani sembuse CHAMA YENYE WATU 100m WENYE AKILI TOFAUTI. ELIMU! ELIMU! ELIMU!!!
 
Kumbe hata mkewe hawaelewani hihihihi
 
Lakin kwa awamu.hii.so sana kama ya kikwete

..mimi nadhani awamu hii imezidi ukatili, chuki, ubaguzi, udhalilishaji, na uchochezi, dhidi ya wapinzani.

..Kwa mfano sikuwahi kumuona JK ktk ziara zake akiwadhalilisha wabunge wa upinzani kama inavyotokea sasa hivi.

..Wakati wa JK wapinzani walikuwa wakihujumiwa, lakini siyo kwa kiwango hiki cha sasa hivi ambapo inasemekana kuna kesi 300++ zinazowahusu wafuasi wa upinzani ktk mahakama mbalimbali.

..Ukatili na Udhalilishaji umeanzia juu sasa tumefika mahali hata huku chini kwa Wakuu wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, etc etc kila mmoja kwa nafasi yake amekuwa katili na mdhalilishaji wa upinzani.
 
Magufuli hana hadhi ya kupewa heshima kama kiongozi wa kitaifa sababu haeshimu Watanzania kwa kuwa mbaguzi, mvunja katiba na sheria za nchi, nawashangaa sana wanaomuona kama mtu mwenye upendo sana kwa watanzani ilihali kilichoujaza moyo wake ni kinyume na muono wao, huyu baba amejaa chuki kubwa sana kwa wenye kufikri kinyume na mitazamo yake, nafikiri kwa chuki aliyonayo kwa wapinzani kama ndio bahati akutane nao gizani anaweza hata kuwaua kabisa kwa mikono yake mwenyewe
Teheheheheh...nasikia kuna siku aliwahi kumpiga mkewe ile mbaya,kisa kamshauri aache chuki kwa wapinzani
 
Kuna umuhimu wa kupongezana ndo maana sijasema Magufuli anawapongeza, ila wanaoongoza kwa kubeza ni wapinzani,

Mpaka zitto anamuita Rais mshamba
Hivi mtu akijipa jina halafu wengine wakalitumia kumuita linakuwa kosa? Ni Nani alisema yeye ni Kichaa? Ni Nani alisema yeye ni Jiwe?
 
Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,
NIweke picha ya Sizonje ofisini kwangu kwani nina kichaa??? Hizo gundu zake abaki nazo yeye na ukoo wake wa Kihutu!
 
Huyo mnayemtetea haheshimu watu tangu akiwa mwalimu alitaka kumtwanga Headmaster wake Sengerema Secondary, Leo mnamlazimisha heshima?
Hebu oneni mtu alivo na nidhamu zero huyu, kumbe ana tabia ya kupigana tangu utoto!
 
Stupid! Mkemee Kibajaji and co ndio uje kuwakemea CHADEMA na BAVICHA! Huu ndio ujinga uliolikumba hili taifa nyakati hizi! UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA
 
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Kwanini wanaccm mawazo yenu yameganda kwenye Chadema tu, kwani wa vyama vingine na wasiokuwa na vyama wote wanapenda yote yanayoendelea nchini! Mimi naona ni akili ndogo iliyoanzishwa na Simba na Yanga.
 
Back
Top Bottom