Tujifunze Kutoka Libya

Kwa lugha yoyote ambayo tunaweza kutumia,iwe vijana wasio jielewa,wenye hasira kali,wakurupukaji,haiondoi ukweli kwamba walijazwa upepo na watu ambao hawapo front kwenye maandamano
Huu ndio upuuzi ninaokueleza tangu mwanzo, kujifanya wewe na Samia kuwa ndio wenye akili kuzidi hao wengine wote.
Hao vijana hawana akili, tena zaidi yenu na huyo Samia. Kwa nini mnataka waonekane kama wao ubinaadam wao ni hafifu kuliko nyinyi?
Wao hawaitakii nchi yao mema, kuwa na viongozi watakaoleta umoja na fursa kwa waTanzania wote, tena hasa kwao hao vijana ambao ndiyo kwanza wanajenga maisha yao?

Wewe na Samia ni akina nani hadi muwaone kuwa wamepungukiwa, kuwa watu wa kurubuniwa tu!

Kwenye fikra kama hizi ninakudharau kabisa.
 
Umekwepa swali kiaina ndugu yangu "Kalamu"
Swali gani nililokwepa. Huwa sina konakona hata kidogo.
Kama hutaki kusoma na kuelewa kilichoandikwa hilo siyo tatizo langu.

Sina sababu yoyote ya kukwepa chochote katika mijadala inayohusu ustawi wa taifa letu.
 
hii ya kuingiziwa gawio (ela bure ) ni story zavijiweni..
 
Katika hili ngoja tukubaliane kutokukubaliana

Naweza kuwa na maswali mengi sana juu yako juu ya haya madai yako

Asante
 
Katika hili ngoja tukubaliane kutokukubaliana

Naweza kuwa na maswali mengi sana juu yako juu ya haya madai yako

Asante
Huwa sina konakona zozote katika maoni yangu; ukitaka kuweka hayo mapindopindo yako hilo ni shauri lako.

Sasa unataka kunilazimisha niwe nisivyokuwa kwa kuwa hali hiyo ndiyo inayokusumbua wewe?

Imani yako ni yako; na imani ya wengine ni yao' kwa nini tulazimishane juu ya hilo.

Lakini ukitafuta kulazimisha kwenye uTanzania wangu; hapo hatutaelewana kamwe.

Elewa hivyo, kama unaweza kuelewa.
 
Huna jipya,heri tuwe kama Libya tu na tukifika huko ujue ccm ndio chanzo na si wananchi
 
Tanzania tuna rasilimali nyingi sana ambazo zInawavutia wazungu, tukifanya kosa moja la kiufundi utawaona hawa hapa
Acheni ujinga hakuna kitu kama hicho, kwamba wazungu ndio walisababisha haya machafuko, hapa ndio ujinga wa mwafrika ndio unathirika, inawezekana vipi migogoro ilikua chanzo sisi kushindwa kuelewa jambo la uchaguzi huyu anataka hivi na huyu anataka hivi, na tena kwa akili yetu finyu tunarudi tena kulaumu wazungu bila kulekebisha, tatizo lilitufanya tuuane hivi! na ingawa inasikitisha sana na waliofanya maauji binadamu na watanzania wezao hakuna aliyewajibika!!
 
Hili jambo la libya na gaddafi imekua kitu cha kulingasha mfano kwenye tawala za mabavu ili kuuaminisha, wananchi kwa haki wanayotaka kuidai.
 
Hili jambo la libya na gaddafi imekua kitu cha kulingasha mfano kwenye tawala za mabavu ili kuuaminisha, wananchi kwa haki wanayotaka kuidai.

Unajua sisi waswahili ni Motherfucker Sana

Yaani MTU anaamini kuwa wazungu wapo kuzisaidia nchi za Africa !!

Huu ni -umotherfucker mkubwa Sana .


Hao wazungu ni wajinga na wezi ambao hawafai hata kupewa sikio kusikilizwa


Na wamekuwa wakipenyeza ajenda zao Kama dini, siasa, elimu n.k mifumo ya kibepari ili kuzikandamiza nchi za Africa


So Mimi nawashangaa Sana waswahili wenzangu kukosa kulielewa hili
 
Bila hiki kilichofanyika mazungumzo ilikuwa ni kupotezeana muda. Tena inatakiwa tupate silaha ili tukiingia kwenye mazungumzo ifahamike nini tunaongea. Haya mambo ya kutuambia wazungu sijui uchafu gani, kawaokoteni waliolala.
Hapo ndio mmeanza kuamka watanzania hata heshima itakuwepo nchini, nashangaa kumbembeleza mwenye kosa, nikumpa kichwa tu aendelee kurudia matendo mabaya??
 
Wewe kwa akili yako bila mzungu unazani mswahili atakua na maisha haya, ya Teknolojia ndio itakua hali mbaya zaidi sema waswahili huwa mnasahau, mlikotoka??
 
Kwanini mnakikimbia chanzo cha ghasia zote? Ambacho ni Haki.
Ukiangalia utawala wa Ghadafi na WA ccm hakuna tofauti, wote ni waminyaji wa haki na uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari.
Libya ilikuwa ukimsema vibaya Ghadafi unapotezwa, sawa SAWA TU na Tanzania.
Serikali ilishauriwa sana kufanya maridhiano kabla ya uchaguzi lakini ilikataa kwa kujua biashara itaendelea kama kawaida, lakini mambo yakuwa tofauti na Sasa inahangaika kuirudisha nchi ilipokuwa, hesabu zikikosewa kidogo TU nchi inakwenda kuparagany'ika.
 
Unapoint kubwa ndugu yangu,

Ccm pamoja na mambo mengine ina kasoro zake,hilo hatubishi na hatupo hapa kulikingia kifua,mambo yao watadili nayo wenyewe

Sisi tupo hapa kupigania amani ya nchi hii,na kulinda uhai wa vijana wetu ambao wanatumika kama daraja kufanikisha agenda za watu wengine
 
Hizo ajenda za watu wengine ni zipi?
Kwani hujui mambo ambayo vijana wanayataka?
 
Tanzania sio nchi ya kiislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…