Tujifunze Kutoka Libya

Tujifunze Kutoka Libya

ERTUGRUL BEY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
11,529
Reaction score
21,530

Screenshot_20251213-175058_Google.jpg

My people,​

15 - February -2011

Benghazi, Libya

Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu

Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya

Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali

Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka

Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya

Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.

Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania

Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi

Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA

Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025

Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu

Ni hayo tu!
 
Unahangaika ungeshauri serikali yako warudishe utawala kwa wananchi.huwezi ukapora haki ya kuishi ya watu kwakuteka na kuua huku unahubiri amani.unahubiri amani huku umeshika bunduki..hyo cyo amani ni utulivu na ipo siku italipuka km mtung wa gesi.AMANI YA KWELI HUMBATANA NA HAKI.HAKUNA HAKI HAKUNA AMANI BALI UOGA HUSHIKA NAFASI YA AMANI
 
Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta
Bora wao walikuwa wanafaidi keki ya taifa ,tunaweza kuwalaumu ila kwa TZ hakuna kitu ,watu wanatekwa kila kukicha ,keki ya taifa wanakula kina Abdul ,kizhiga na wahuni wachache waliowazunguka.

Huduma za jamii ni Zero ,Majengo makubwa hakuna madaktari wala dawa ,shule kubwa lakini hakuna walimu ,wanajenga majengo maana wanajua kuna UPIGAJI kwenye miradi.

TZ hapa wanaharakati ,wapinzani ,watoa ushauri wanaishi kama wapo vitani na mafichoni.
 
Hizo VITA zililetwa na WAZUNGU hasa USA ili kuiba MALI Kama mafuta.

Ndo maana nilisema ni kweli CCM imepoteza misingi yake Ila hatuwezi kuitoa kwa kutegemea wazungu .

Zaidi tutaiingiza nchi katika MACHUFUKO ambayo tunaweza kuyaeupuka..

Number don't lie kupitia takwimu mbalimbali tunaona mataifa ya kimagharibi huwa hayatatui migogoro ya kisiasa zaidi ya kuiba Mali na kuuza silaha

Refer CONGO, Sudan kusini , Somalia , Libya n.k

Kwahiyo sisi kwa sisi tukituliza akili tunaweza kuiweka nchi yetu katika mikono salama.

NB.

Sisi ambao hatusapoti maandano haimaniishi tunakubalina na mauaji ya 29/10

Ila tunapendekeza njia ya mazungumzo ndo itumike.
 
Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi
Unachowaeleza waTanzania ni kuwa ni bora hii hali ya AMANI anayoilinda Samia Suluhu Hassan; kuliko kuhangaikia haki zao; kama kuwa na haki ya kuamua nani awaongoze. Badala yake Samia na Genge lake ndio wajiamulie kuwa wanafaa kutuongoza.
Hizi ni fikra za kipuuzi kabisa.

Nilitaka kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi andiko lako lilivyo potofu toka mwanzo hadi mwisho; lakini huko ni kupoteza muda tu na watu wa aina yenu tunaojuwa ajenda yenu ni nini.
 
Hyo libya wamefeli sawa shda kubwa ilikuwa kwa gadafi huwenz kufuga watu km kuku wa kisasa.mabadiliko yanakipndi chake yakija hayazuiliki ukizuia matokeo yake unaleta machafuko.tunisia misri walipitia haya mbona hawana vita.vp kenya ghana wamekubali kuleta mabadiliko kwa wananchi na kuongoza cyo kutawala km ccm.
 
View attachment 3515158

My people,​

15 - February -2011

Benghazi, Libya

Ghasia zilianza rasmi baada ya Utawala wa Muammar Gaddafi kumkamata mwanasheria anayejulikana kwa jina la Fathi Terbil ambaye alikuwa mtetezi wa haki za binadamu

Baada ya wananchi kujua hilo tukio walikasirishwa sana,na hapo ndipo Maandamano rasmi yalianza viunga vyote vya Libya

Baadae Serikali ilitumia nguvu kubwa kwa kuwapiga risasi waandamanaji,baadae wandamanaji nao wakapora silaha na kuunda vikundi wa uasi dhidi ya Serikali

Kutoka maandamano ikaja kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe, nchi yote ikachafuka hatimaye NATO ikaingilia kati na kufunga anga na kuanza kuwapiga au kuwashambulia askari au wanajeshi wa jeshi la libya,mwisho wa siku Utawala wa Gaddafi ukaanguka

Kilichofuatia baadae nchi haikutawalika tena,uasi ukawa mwingi na machafuko ikawa sehemu ya maisha ya kila siku ya Libya

Watu ambao walikuwa hawajui kulipa bill za maji au umeme,watu ambao walikuwa wanaingiziwa gawio kwenye account zao kutoka kwenye uchumi wa mafuta,leo hii hawana amani,wengi wanakufa baharini huko katika jitihada za kueleka Ulaya.

Wananchi jua kwamba nasi ikifikia hatua hiyo ya machafuko,wazungu wataingilia kati ,si kwakuwa wanatupenda ila kwa ajili ya Kuja kuvuna rasilimali za Tanzania

Ndio maana baadhi yetu tunapoamua kuwa mabalozi wa amani tunajua nini maana ya kukosa amani,tunajua si ushujaa kuwa wakimbizi

Kwahiyo tujue kwamba AMANI NI TUNU YETU BASI TUILINDE KWA WIVU MKUBWA

Tunashukuru na kufurahi kuona kwamba kuna members wengi wanatuunga mkono kwenye hii kampeni itakayodumu hadi 31 Dec 2025

Tanzania ni yetu basi tudumishe amani ya nchi yetu

Ni hayo tu!
Xiao qui shui soma hapo mwananchi
 
..umeeleza vizuri sana kwamba ukivunja HAKI unahatarisha AMANI.

..amani ya Libya ilitoweka baada ya Gadaffi kuanza kukanyaga HAKI za wenzake.
 
Hyo libya wamefeli sawa shda kubwa ilikuwa kwa gadafi huwenz kufuga watu km kuku wa kisasa.mabadiliko yanakipndi chake yakija hayazuiliki ukizuia matokeo yake unaleta machafuko.tunisia misri walipitia haya mbona hawana vita.vp kenya ghana wamekubali kuleta mabadiliko kwa wananchi na kuongoza cyo kutawala km ccm.
Libya ni failed state
 
Ila tunapendekeza njia ya mazungumzo ndo itumike.
Mazungumzo na nani?
Refer CONGO, Sudan kusini , Somalia , Libya n.k
Ulaghai uleule; usiikiri watu wamelaza akili.

Nani kakwambia waTanzania wanawasubiri wazungu kutafuta haki zao? Kama wewe unategemea utamaduni wa kiarabu; huo wa kudanganyana na mazungumzo FEKI huku ukivunja haki za wengine usifikiri watu hawalijui hilo.

Hayo "mazungumzo" Samia hajawahi kuyaahidi na kuyatumia kama ulaghai tu wa kuhadaa watu?

Mabadiliko tutayafanya wenyewe; ni kazi yetu wenyewe, na tutaitimiza wenyewe. Hizo porojo za kupotosha watu msifikiri hawajui lengo lake ni nini.
 
Kuitoa CCM sio jambo jepesi Kama unavyofikiria .

Nadhani ile 29/10 umejionea mwenyewe .

Lazima uwe na mikakati na haya maneno yenu mnayokuwa mnaandika kufarijiana.

Ile 29/10 inakupa picha kamili kuwa kelele , maandamano n.k bado ni njia dhaifu na duni.

Sisi tutatumia mazungumzo na nyie tumieni maandamano.
 
Sjasoma content,
ila nikuulize utajifunzaje kwa walio feli?
Swali zuri kabisa.

Lakini yeye mwenyewe anafikiri mada yake inakidhi mahitaji ya propaganda potofu anayoieneza.

Hata hana mfano mmoja wa upande wa pili wa mada yake?

Ni nchi ngapi zimekombolewa toka kwa viongozi dhalimu, waovu kama Samia na kuendelea kuwa nchi za kutolewa mfano?
MAZUNGUMZO, ndiyo yaliyoondoa utawala wa Hitler na waovu wengine duniani?
 
Jamaa anachukulia mambo kwa urahisi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom