Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,269
- 70,663
Watu wamekuwa wagumu sana kusamehe wenzao na kuwaona ni wadhambi ,wakosefu,,dini inatufundisha tusameheane utukufu uwe nasii pamoja,yule mwanamke aliepelekwa kwa Yesu na kusemwa ni kahaba ,alipiga magoti mbele ya Yesu na kulia machozi yakadondoka kwenye miguu ya Yesu kishs akachukua nywele zake na kufuta miguu ya Yesu ndipo Yesu akasema ni nani msafi kati yenu na amponde mawe huyu mwanamke,alipoinua Uso kuangalia hakuna hata mmoja aliebakia wote waliondoka
Tujifunze kusamehe na nyie mtasamehewa,naaminu sisi wote si watimilifu
Samehe saba mara sabini 7 x70
Tujifunze kusamehe na nyie mtasamehewa,naaminu sisi wote si watimilifu
Samehe saba mara sabini 7 x70