Tujifunze kitu kutoka Brazil na South Korea

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,735
6,165
Marais wa hizi nchi mbili walileta fyoko fyoko mwisho wake ikawa hivi.

Hapa ni Brazil, mamilioni ya watu walimchoka ikabidi aondolewe
_84922966_hi028584405.jpg

Hapa ni South Korea, na hii ni ya juzijuzi tu. Huyu naye aliondolewa.
c737dac807844acd986ee699a466e6ea_9.jpg

Hawa marais wawili walichokifanya kinafanana sana na huyu wa hapa kwetu, huyu wa S.Korea alikua na bashite wake moja anampenda sana. Sasa hivi yupo mahakamani kujibu kesi.

Haya turudi Tanzania
keyboard-warrior-600x370.jpg
 
Hivi unajua presida kamteua cdf kutoka lake zone kwasababu gani

Fanya fyoko uone
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Muda ukifika Magufuli atabaki na bae wake Makonda tu. Wengine watakuwa wamemuhama.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi unajua presida kamteua cdf kutoka lake zone kwasababu gani
Fanya fyoko uone

Huu uoga wangekua nao TANU ungekua bado unatawaliwa.
Someone has to take action, wengi hua wanaachia mwingine afanye, kwa kua wao hawajiamini, unaishi kwenye bubble yako tu ambayo inakufanya uwe comfortable ukisubiri kupakuliwa ule. Ni ngumu kufanikiwa kwa lolote kwa style hiyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu Lete mada zako zaki engineering mkuu utunue akili cc wengine tulikimbia umande
 
Marais wa hizi nchi mbili walileta fyoko fyoko mwisho wake ikawa hivi.

Hapa ni Brazil, mamilioni ya watu walimchoka ikabidi aondolewe
View attachment 485348

Hapa ni South Korea, na hii ni ya juzijuzi tu. Huyu naye aliondolewa.
View attachment 485349

Hawa marais wawili walichokifanya kinafanana sana na huyu wa hapa kwetu, huyu wa S.Korea alikua na bashite wake moja anampenda sana. Sasa hivi yupo mahakamani kujibu kesi.

Haya turudi Tanzania
View attachment 485351
Ngoja waje wanaojua.
 
Back
Top Bottom