Sawa mualimu naona una nia yadhati katika hilo (solid determination) naomba uniorodheshe katika hao waalimu ila tu ongeza kiwango angalau to be 3m for emergency planning. mie hera yangu ninayo tayariNimekuelewa, Ila yatupasa kupambana mkuu, tukiogopa sana tutaishia kuona mafanikio ya wenzetu tuu
Hongera kwa wazo zuriUnajenga mkoa gani? Shule ya msingi ama sekondari? Wazoo Zuri Sana ndugu PAMBANA
Tuma namba yako ya sm pm , jina na mahali ulipoSawa mualimu naona una nia yadhati katika hilo (solid determination) naomba uniorodheshe katika hao waalimu ila tu ongeza kiwango angalau to be 3m for emergency planning. mie hera yangu ninayo tayari
AsanteHakika kiongozi saivi nacho kifanya ni kuorodhesha watu ambao watakua tayari kabisa kwa jambo hili kwani tukikutana na kujadiliana ndipo tutajua tuanzie wapi na tufanye nini.
Kaka ujenzi siku hizi ni makubaliano tuu! Any way mm kuna mafundi nawafaham wanaweza jenga kwa bei hiyo ,darasa si kama nyumba yenye vyumba vingi, ahsante kwa maoni na mchango wako ndugu, tukisha kutana na kujadiliana mambo yataenda vyema kumbuka kwenye wengi hapaharibiki jambo.darasa la wanafunzi wangapi hilo kwa 300000?
hujui fundi kwa tofali moja tu gharama ni kama 200-300?
Ahsante sana kaka nacho Fanya nikuwa sajili ambao wapo tayari na nia thabiti ya kufanya hii mishe kisha nitatengeneza grouphongera mwalimu kwa mawazo yako chanya,simamia wazo lako kwa gharama yoyote,naamini utapata vikwazo vya kukatishwa tamaa,usigeuke nyuma...
mimi sio mwalimu,but ninao ndugu zangu ambao ni walimu na nipo tayari kuwalipia hata wawili ili mradi ziwekwe taratibu zilizowazi...
napengine kwa wale ambao wapo tayari anzisha group la whtssap ili kuendeleza mipango hii
Ahsante sana kwa mchango wako chanya, watakao kuwa tayari tutajadiliana ni jinsi gani tuanze ,kwenye wengi hapaharibiki jambo.Shule za primary kimuundo ni nzuri kwa faida kuliko secondary. Mm ni mwalimu wa secondary, nina experience na biashara ya shule kwa takriban miaka mitano, ukianzisha primary school unapata watoto bado wadogo, ww ndo unaaanza nao, unawamold kitabia, unawapa first sight ya elimu ww, wanapata muda wa kukuzoea na kuanza kukupenda, kisha wanakuelewa. Hapo unakua na guarantee ya ufaulu wao wakimaliza darasa la saba. Ila changamoto ya sekondary ipo kwenye ufaulu tu..uwe na uhakika wa kupata pool nzuri ya watoto kutoka mashule tofauti, yaan pool nzuri kitabia lakini pia msingi wa kingereza na utayar wa watoto, experience yangu inaonesha watoto wengi wanamaliza shule ya msingi hata kiingereza hawajui, sasa na ww ndo unakabidhiwa hao watoto. Ni vgumu kufikia malengo kwakweli kwa njia hio.
Sawa niko dar es salaam. 0622387700.Tuma namba yako ya sm pm , jina na mahali ulipo
Shukrani sana,Hiyo milion 25 ni ndoto KUJENGA SHULE, SITAKI KUKUKATISHA TAMAA LAKINI UMEANZIA CHINI SANA MAKISIO YAKO. HIYI MIL 25 HATA NYUMBA YA KUISHI TUU YA KAWAIDA NI VIGUMU ITOSHE
acha basi inawezakana sana tena sana kutokana na mikoa usitukatishe tamaa ikishia sehemu tutaongeza tena 25. "try and fail but never fail to try"Hiyo milion 25 ni ndoto KUJENGA SHULE, SITAKI KUKUKATISHA TAMAA LAKINI UMEANZIA CHINI SANA MAKISIO YAKO. HIYI MIL 25 HATA NYUMBA YA KUISHI TUU YA KAWAIDA NI VIGUMU ITOSHE
Poa kaka ,nimeiona pm yako!Nipo tayari