Tujenge kabisa wanajf

Serious ukifika dar tutafutane
 
Makanisa na Misikiti ni sehemu za kwenda kupoteza muda tu. Kwa nini tusihamasishane tujenge labda hata public computer lab moja na kujitolea kufundisha ndugu zetu watoto ujuzi unaoweza kuwasaidia hapo mbeleni??!! Karibuni mbege kabla ya kwenda kwenye mahubiri wakuu
 
😂😂😂Huoni kwamba kanisa huweza Jenga miundombinu mipya mingine mingii....Sadaka ya kujimaliza

Cc: mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…