Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

Wachezaji hawalipwi posho hilo sio swala la wadhamini.

Wadhamini hukabidhi pesa siku ya kusaini mkataa kwa ajili ya msimu husika, swala linabaki kuwa katika mikono ya waendeshaji.
Kama pesa imetolewa na wadhamini toka kwenye mikataba asa inakuaje tena team inakuwa na migogoro ya pesa na apo mpaka tajiri mmoja apigiwe magoti atoe kwa kuchelewa? Vipi kuhusu pesa za mikataba na kampuni
 
A

ta wewe pia mkuu tunahitaji mawazo yako
Mkuu Makolo ni WAHUNI,mara nyingi ni wazee wa kuongeza sifuri !

Kama hizo pesa zote zingekuwa zinawekwa kwenye hiyo klabu kutoka Kwa washamini,basi hii klabu ingekuwa klabu kubwa sana hapa AFRIKA !

Tatizo viongozi wa klabu ni waongo,wahuni !,ndiyo maana hata mashabiki wake nao ni WAHUNI tu !
 
Wengi wanajua na baadhi hawajui kwaiyo tujadiliane kulingana na kile tunachojua plus mawazo yetu juu ya hoja iyo, Yanayoendelea pale Simba kwenye suala la mikataba na migogoro yao kifedha
Kifupi huyo muhuni anafaidika sana hapo msimbazi, hiyo mikataba ya pilsener na KNAUF ni malipo yawaka ama..
Kama ni kwa mwaka maana yake simba thamani yake kwa mwaka sio chini ya bilioni 2,
Hizo mo zake 4(foundatio,cola,, energy na insurance) ilibidi alipie bilioni 8 hivi kwa mwaka hapo hujaweka na ile sabuni yake ya B ngapi sijui.
Trust me jamaa anafaidika.

Sijui kimahesabu simba ina bajet ya kiasii gani kwa mwaka, ila hao wadhamini pekee naimani wanatosha kuendesha timu bila kutoa pesa mfukoni, wala viingilio.

Kitu pekee mo apewe credit, ni kapandisha thamani ya simba, hapo simba ilipo inapata mikataba hiyo mo ana mchango wake mkubwa sana.
 
Mkuu Makolo ni WAHUNI,mara nyingi ni wazee wa kuongeza sifuri !

Kama hizo pesa zote zingekuwa zinawekwa kwenye hiyo klabu kutoka Kwa washamini,basi hii klabu ingekuwa klabu kubwa sana hapa AFRIKA !

Tatizo viongozi wa klabu ni waongo,wahuni !,ndiyo maana hata mashabiki wake nao ni WAHUNI tu !
Mkuu umetumia lugha kali sana 😂 . Nini kinafanyika wakati pesa izo zinapita taasisi kadhaa asa TRA kukatwa kodi ikiwa wanaongeza sifuri??
 
Kifupi huyo muhuni anafaidika sana hapo msimbazi, hiyo mikataba ya pilsener na KNAUF ni malipo yawaka ama..
Kama ni kwa mwaka maana yake simba thamani yake kwa mwaka sio chini ya bilioni 2,
Hizo mo zake 4(foundatio,cola,, energy na insurance) ilibidi alipie bilioni 8 hivi kwa mwaka hapo hujaweka na ile sabuni yake ya B ngapi sijui.
Trust me jamaa anafaidika.

Sijui kimahesabu simba ina bajet ya kiasii gani kwa mwaka, ila hao wadhamini pekee naimani wanatosha kuendesha timu bila kutoa pesa mfukoni, wala viingilio.

Kitu pekee mo apewe credit, ni kapandisha thamani ya simba, hapo simba ilipo inapata mikataba hiyo mo ana mchango wake mkubwa sana.
Kuna kiongozi ndani ya klabu kanijuza kuwa tatizo pesa zote zinaenda kweny akaunti ya Tajiri MO ndio maana matatizo utokea. Wenye team na wanamichezo ili limekaaje
 
Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 56 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-
Pilsner:- 2 billion
MO insurance:- Sio wazi
Air Tanzania:- Sio wazi
KNAUF:- 2 billion
Sandaland:- 3billion + sports items
AZAM:-

Izo ni kampuni ambazo club ya Simba imeingia mikataba nayo lakini tujadiliane kuhusu matumizi ambayo sio wazi na vile vile usajiri na gharama za uendeshaji wa timu ikijumuisha mishahara, usafiri, usajiri na hotels zote anatoa mfadhili wao Tajiri Mo Dewji. Lakini ivi karibuni tumeskia migogoro ndani ya klabu kuwa wachezaji hawalipwi posho mara tajiri hajatoa pesa na mambo mengi ambayo yananipa maswali mengi kuwa izo pesa mabillioni toka kwa izo kampuni zinatumika wapi? 🤦🏻‍♂️
TUJADILIANE KWA LENGO LA KUJENGA TASNIA YA MICHEZO. View attachment 3422991
Hii bil 20,mkiimpa MO inakuwa anawadai bil 47.
 
Kama pesa imetolewa na wadhamini toka kwenye mikataba asa inakuaje tena team inakuwa na migogoro ya pesa na apo mpaka tajiri mmoja apigiwe magoti atoe kwa kuchelewa? Vipi kuhusu pesa za mikataba na kampuni
Ushaona hiyo migogoro inajitokeza kwenye mishahara ya wachezaji?

Bila shaka ni migogoro ambayo inajitokeza kwenye bonus

Kuhusu bonus muwekezaji ambaye ni MO kwa taarifa nilizonazo ni kuwa Club hufanya tathmini ya kiasi ambacho kinatazamiwa kutumika kama bonus katika mashindano ambayo yapo mbeleni.

Ikishafahamika kiasi kinachohitajika ni kwamba MO hutoa nusu ya pesa inayohitajika halafu upande wa Club nayo itamalizia hiyo nusu nyingine.

Mo anakabidhi hizo pesa kwa viongozi then wao sasa ndio wataongezea na zao kisha kuzi distribute kulingana na mipango yao.

Sasa kinachokuja kuonekana kuwa shida ni swala la uaminifu kwa baadhi ya viongozi, hizo pesa walizokabidhiwa na MO wanaanza kuzitumia wao kabla hata hazijafikiwa na walengwa.

Na zile pesa ambazo kama Club ilitakiwa ichangie unakuta haichangii halafu lawama anabebeshwa MO kwasababu huku nje ndio anayeonekana ndio mbeba majukumu kwenye kila kitu kinacho husiana na mishahara.

So labda ubadilishwe mfumo tu wa namna ya utoaji hizo bonus ili kuwanyima nafasi walowezi wasifanye upigaji. Ambapo napo hapa wasiwasi wangu kunaweza kutengenezwa njama ionekane MO ni bahili hataki kuwakabidhi viongozi pesa badala yake pesa anawalipa wachezaji direct kutoka mfukoni mwake.
 
Hii bil 20,mkiimpa MO inakuwa anawadai bil 47.
MO anatoa hela tuache utani

Kwa mfano sajili za msimu huu naskia imetengwa almost 10+B halafu watu baadae wanasema jamaa anasusa sijui bahili.

Na watu wanaosema hivyo ndio wenye 51% ambao kimsingi walitegemewa kuwa on top kwenye kutoa pesa.
 
Ushaona hiyo migogoro inajitokeza kwenye mishahara ya wachezaji?

Bila shaka ni migogoro ambayo inajitokeza kwenye bonus

Kuhusu bonus muwekezaji ambaye ni MO kwa taarifa nilizonazo ni kuwa Club hufanya tathmini ya kiasi ambacho kinatazamiwa kutumika kama bonus katika mashindano ambayo yapo mbeleni.

Ikishafahamika kiasi kinachohitajika ni kwamba MO hutoa nusu ya pesa inayohitajika halafu upande wa Club nayo itamalizia hiyo nusu nyingine.

Mo anakabidhi hizo pesa kwa viongozi then wao sasa ndio wataongezea na zao kisha kuzi distribute kulingana na mipango yao.

Sasa kinachokuja kuonekana kuwa shida ni swala la uaminifu kwa baadhi ya viongozi, hizo pesa walizokabidhiwa na MO wanaanza kuzitumia wao kabla hata hazijafikiwa na walengwa.

Na zile pesa ambazo kama Club ilitakiwa ichangie unakuta haichangii halafu lawama anabebeshwa MO kwasababu huku nje ndio anayeonekana ndio mbeba majukumu kwenye kila kitu kinacho husiana na mishahara.

So labda ubadilishwe mfumo tu wa namna ya utoaji hizo bonus ili kuwanyima nafasi walowezi wasifanye upigaji. Ambapo napo hapa wasiwasi wangu kunaweza kutengenezwa njama ionekane MO ni bahili hataki kuwakabidhi viongozi pesa badala yake pesa anawalipa wachezaji direct kutoka mfukoni mwake.
Mkuu umeeleza vizuri sana ila kama ilo linajulikana lipo ndani ya klabu na Tajiri anajua, kwanini hao viongozi hawatolewi maana wanakwamisha maendeleo ya klabu? Na ilo linachangia maswali na migogoro mingi kuibuka. Pesa ikitolewa na wadhamini wote hao inamaana inakuwa haitoshi mpaka cllub itake tena pesa kwa tajiri, maana tunasikia tajiri anacover kila kitu kwanzia hela ya usajiri, hotel, bonus, mishahara , usafiri n.k
 
Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 36 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-
Pilsner:- 2 billion
MO insurance:- Sio wazi
Air Tanzania:- Sio wazi
KNAUF:- 2 billion
Sandaland:- 3billion + sports items
AZAM:-

Izo ni kampuni ambazo club ya Simba imeingia mikataba nayo lakini tujadiliane kuhusu matumizi ambayo sio wazi na vile vile usajiri na gharama za uendeshaji wa timu ikijumuisha mishahara, usafiri, usajiri na hotels zote anatoa mfadhili wao Tajiri Mo Dewji. Lakini ivi karibuni tumeskia migogoro ndani ya klabu kuwa wachezaji hawalipwi posho mara tajiri hajatoa pesa na mambo mengi ambayo yananipa maswali mengi kuwa izo pesa mabillioni toka kwa izo kampuni zinatumika wapi? 🤦🏻‍♂️
TUJADILIANE KWA LENGO LA KUJENGA TASNIA YA MICHEZO. View attachment 3422991
Hapo bado hujataja gate collections za msimu mzima, kuna hela ya kufika fainali kombe la shirikisho, zawadi ya mshindi wa pili kutoka Azam, NBC, nk.
 
Kifupi huyo muhuni anafaidika sana hapo msimbazi, hiyo mikataba ya pilsener na KNAUF ni malipo yawaka ama..
Kama ni kwa mwaka maana yake simba thamani yake kwa mwaka sio chini ya bilioni 2,
Hizo mo zake 4(foundatio,cola,, energy na insurance) ilibidi alipie bilioni 8 hivi kwa mwaka hapo hujaweka na ile sabuni yake ya B ngapi sijui.
Trust me jamaa anafaidika.

Sijui kimahesabu simba ina bajet ya kiasii gani kwa mwaka, ila hao wadhamini pekee naimani wanatosha kuendesha timu bila kutoa pesa mfukoni, wala viingilio.

Kitu pekee mo apewe credit, ni kapandisha thamani ya simba, hapo simba ilipo inapata mikataba hiyo mo ana mchango wake mkubwa sana.
Pale simba kuna wahun wanapiga pesa kilaini sana

Wajinga ndiyo waliwao🤣🤣🙌
 
Simba SC tafuteni kamati tendaji hayo yote yatakuwa wazi katiba yenu imemtaja mkurugenzi wa wanachama ambaye hajawahi kuchaguliwa ndiye kikatiba ana majibu yote ya maswali yako na mbalimbali
Kwani hakuna kamati ndani ya Simba inayohusu masuala fedha na matumizi?
 
Back
Top Bottom