Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

Kifupi huyo muhuni anafaidika sana hapo msimbazi, hiyo mikataba ya pilsener na KNAUF ni malipo yawaka ama..
Kama ni kwa mwaka maana yake simba thamani yake kwa mwaka sio chini ya bilioni 2,
Hizo mo zake 4(foundatio,cola,, energy na insurance) ilibidi alipie bilioni 8 hivi kwa mwaka hapo hujaweka na ile sabuni yake ya B ngapi sijui.
Trust me jamaa anafaidika.

Sijui kimahesabu simba ina bajet ya kiasii gani kwa mwaka, ila hao wadhamini pekee naimani wanatosha kuendesha timu bila kutoa pesa mfukoni, wala viingilio.

Kitu pekee mo apewe credit, ni kapandisha thamani ya simba, hapo simba ilipo inapata mikataba hiyo mo ana mchango wake mkubwa sana.

"Kitu pekee mo apewe credit, ni kapandisha thamani ya simba, hapo simba ilipo inapata mikataba hiyo mo ana mchango wake mkubwa sana"
+
"Kwenye hizo B20 za udhamini wa Betway, Mo Dewji ana mgawo wake maana ni mwekezaji"
 
Kivipi MO awe na magi wake ikiwa sio profit? Nipe darasa maana mi najua gawio la mwekezaji lipo kwenye profit ndio kunakuwa na percent yake 41%
 
Taarifa za fedha za Simba haziko wazi
Taarifa za fedha ni izo tunazoona wanaingiza mbona ziko wazi ila matumizi ya fedha ndio hayako wazi ndio maana uleta maswali yasiyo na majibu. Ndio sababu kuna mjadala kama huu Simba inaingiza mabillioni ambayo yangeweza endesha klabu na kufanya maendeleo makubwa lakini ajabu ni mwekezaji ndio hutoa pesa zote kwa kila eneo la kuendesha timu, usafiri, mishahara, usajiri, bonus mpaka fedha ya kambi na ata pre season anatoa mfukoni. Asa hela izo za mikataba mabillioni yanatumika wapi. Tujadiliane
 
Naona tunaongea vitu tofauti, Mimi nazungumzia taarifa ya fedha ya mwaka ilitokaguliwa. Wewe unazungumzia hii mikataba wanayoingia ambayo inatangaza, kwenye taarifa ya fedha Kuna mapato na matumizi ya club hapo ndio Kuna mchanganuo wote na taarifa hii inabidi iwe imekaguliwa.
Kwenye mkutabo mkuu wanachama wanasomewa taarifa na kuipitisha bila kuhoji.
Nimewahi kukutana na wanachama wanadai jengo la Simba limewekwa rehani nikawauluza mnazi taarifa za fedha za Kila mwaka za Simba wakasema hawana ndio maana nikasema ili tujadilu vizuriinabidi tuwe na taarifa za Simba maanabali na mapato na matumizi pia zinaonyesha madeni ya timu.
 
Mi ni mtanzania ila , unawezaje ongeza sifuri wakati pesa inapitia baadhi ya taasisi asa TRA. Naamini mpaka kufikia apo basi ni uhakika. Labda kama unajua vitu utufumbue mkuu
Unaweza kuongeza sifuri kwa maneno na watu wakasikia. Akija Bwana Tra unampa vitabu vya mahesabu kiuhalisia, akiuliza mbona mlisema kadhaa! Unamjibu zile ni porojo za jukwaani
 
Ukiangalia jumla ya mapato ya kimkataba yanaytangazwa na uhalisia wa kinachotokea unapata picha ya Ile concept ya kimahakama kwamba mtuhumiwa amehukumiwa kifungo Cha miaka themanini Kwa makosa kama kumi hivi ila hukumu ya makosa yote ataanza kuitumikia Kwa pamoja,mwishowe anadum gerezani Kwa Mika mitatu tu na anakua kamaliza kifungo bila kuvunja Sheria yoyote,kimsingi yapo mambo mengi ya kimkataba ambayo hayawekwi wazi,ila tunachotangaziwa huku nje ni Kwa Nia ya kurushana roho na viongozi kupata ujiko kwamba wamepata Dili Bora Kwa maslahi ya timu,naamini zipi ahadi za kimkataba zinazotokana na Kwa mfano mwendelezo wa matokeo,kuchukua kombe,au kufudhu ngazi flani ya mashindano kimataifa,Sasa wao wanachukua jumla kuu na kuitangaza kama ilivyo,bila kujua athari y kimatumaini wanayowaachia mashabiki wa timu kitaani.mtazamo wangu Kwa msingi huo ni ngumu kujadili mwenendo wa fedha wa timu ikiwemo usajiri Kwa sababu dalili nyingi zinaonesha fedha hiyo hapo na haitoki kama sisi huku tunavyodhani.usisahau kukumbuka kwamba mimi ni mwanautopo.....
 
Umeeleza vizuri ila swali Je kama wanatangaza kurusha roho tu asa vipi kuhusu TRA kwenye suala la kodi maana ukisema umeingiza billion 20 watakuja kukata kodi ya wewe kuingiza billion 20 na sio chini ya apo, Al kadharika na taasisi nyingine pia. Yaani huwezi andika umeingiza billion 20 afu kwenye makato ya kodi useme sikuingiza pesa ile ni billion 5 tu. Inakuaje apo??

Afu wewe sio mwanaYanga maana kamwe huwezi kuta wakijiita wanaUtopolo ata kwa utani wa usingizi 😂😂 Umejificha kwenye kichaka chako
 
Unaweza kuongeza sifuri kwa maneno na watu wakasikia. Akija Bwana Tra unampa vitabu vya mahesabu kiuhalisia, akiuliza mbona mlisema kadhaa! Unamjibu zile ni porojo za jukwaani
Mkuu kuongeza sifuri wakati pale mikataba imesainiwa na hela iko kwenye cheki. Makabiziano wameonesha wazi
 
Kuna kanga za Simba zinauzwa mnazi mmoja zinatengenezwa na kampuni ya mo ya morogoro,,haieleweki Simba inapata kiasi gani.
Toka mo aingie uwekezaji mapato yanayopatikana uwanjani imekuwa Siri mpaka fainali imepelekwa Zanzibar wanalakamika wamepoteza zaidi ya shilingi 800,000000.
Mauzo ya wachezaji imekuwa Siri mpaka tusome kwa Micky Junior twitter.
 
Na hakuna kitu kinaua kasi ya maendeleo kama mali ya umma ila kuweka usiri ndani yake. Kama ivo sio sawa

Izo kanga zina chapa ya MO pia au??
 
Zina chapa ya Simba hivyo Simba ilitakiwa inufaike
Kama hazina chapa ya kampuni ya MO Dewji basi inabidi tufuatilie nani katengeneza maana yawezekana wakawa wale maharamia wa mjini wanaopita mlango wa pili kujinufaisha na brand ya Simba. Turipoti kwa vyombo husika
 
Umeeleza vizuri ila swali Je kama wanatangaza kurusha roho tu asa vipi kuhusu TRA kwenye suala la kodi maana ukisema umeingiza billion 20 watakuja kukata kodi ya wewe kuingiza billion 20 na sio chini ya apo, Al kadharika na taasisi nyingine pia. Yaani huwezi andika umeingiza billion 20 afu kwenye makato ya kodi useme sikuingiza pesa ile ni billion 5 tu. Inakuaje apo??

Afu wewe sio mwanaYanga maana kamwe huwezi kuta wakijiita wanaUtopolo ata kwa utani wa usingizi 😂😂 Umejificha kwenye kichaka chako
Tra hawakati kodi kwa hisia na kwa muamala mmoja mmoja. Mwisho wa mwaka wa mahesabu utatoa audited report na kulipa kodi kutokana na faida na si pato ghafi
 
Kama hazina chapa ya kampuni ya MO Dewji basi inabidi tufuatilie nani katengeneza maana yawezekana wakawa wale maharamia wa mjini wanaopita mlango wa pili kujinufaisha na brand ya Simba. Turipoti kwa vyombo husika
Zinatengenezwa na kiwanda cha mo kilichopo Morogoro
 
Back
Top Bottom