King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 353
- 522
Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 36 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-
Pilsner:- 2 billion
MO insurance:- Sio wazi
Air Tanzania:- Sio wazi
KNAUF:- 2 billion
Sandaland:- 3billion + sports items
AZAM:-
Izo ni kampuni ambazo club ya Simba imeingia mikataba nayo lakini tujadiliane kuhusu matumizi ambayo sio wazi na vile vile usajiri na gharama za uendeshaji wa timu ikijumuisha mishahara, usafiri, usajiri na hotels zote anatoa mfadhili wao Tajiri Mo Dewji. Lakini ivi karibuni tumeskia migogoro ndani ya klabu kuwa wachezaji hawalipwi posho mara tajiri hajatoa pesa na mambo mengi ambayo yananipa maswali mengi kuwa izo pesa mabillioni toka kwa izo kampuni zinatumika wapi? 🤦🏻♂️
TUJADILIANE KWA LENGO LA KUJENGA TASNIA YA MICHEZO.