Tujadiliane kuhusu hizi tungo Tata

Tujadiliane kuhusu hizi tungo Tata

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
1,118
Reaction score
2,228
Wanajukwaa habari za asubuhi.

Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata
1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI

2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI

3.WAZURI HAWAFI

4.KIFO NI KIFO TU


Karibu kwa mchango wako wa mawazo
 
Hizo sentensi mbili za mwanzo zina utata gani? Ni kweli kila nafsi itaonja mauti
 
Wanajukwaa habari za asubuhi.

Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata
1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI

2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI

3.WAZURI HAWAFI

4.KIFO NI KIFO TU


Karibu kwa mchango wako wa mawazo
Mficha uchi kifo humuumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom