Logistics
Member
- May 16, 2014
- 56
- 18
- Thread starter
- #21
Mm mwenyewe ni mwathirika wa hii kitu, yani hisia hupati mpaka itafutwe kwa udi na uvumba, yani ukiigusa antena kama inauma, haitaki kuguswa, wazazi wetu kweli walituonea mana wanadai ukikeketwa hutakuwa na tamaa na wanaume na ni kweli mana wanaondoa kitu kinachochochea hisia. ila ndoa yangu iko imara kabsaa. No mchepuko.
madam Lolipop, kwanza nikupe pole kwa dhahma ya kutembezewa wembe bila ridhaa yako..
pili, naomba nipate ufafanuzi kutoka kwako, unaweza kukaa muda gani bila kufanya mapenzi? yani hisia zikiwa zimekata kabisa.. miezi 6 inafika?
Last edited by a moderator: