Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

nkoge

Member
Jun 7, 2018
13
39
Habari ya leo!

Niko hapa kukusaidia wewe mwenye ugonjwa sugu. Kama una ugonjwa wowote ambao umehangaika nao kwa muda mrefu na umepambana sana kutafuta tiba mbalimbali na bado hujafanikiwa, tafadhali andika hapa tujadiliane kuhusu namna unavyoweza kupata ufumbuzi.

Nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kutibu magonjwa mbalimbali, hususani yale ya mtindo wa maisha ya kila siku kwa kutumia mimea tiba. Ninaomba tujadiliane hapa juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa.
 
Habari ya leo!
Niko hapa kukusaidia wewe mwenye ugonjwa sugu.Kama una ugonjwa wowote ambao umehangaika nao kwa muda mrefu na umepambana sana kutafuta tiba mbalimbali na bado hujafanikiwa,tafadhali andika hapa tujadiliane kuhusu namna unavyoweza kupata ufumbuzi.

Nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kutibu magonjwa mbalimbali,hususani yale ya mtindo wa maisha ya kila siku kwa kutumia mimea tiba. Ninaomba tujadiliane hapa juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa.
Na ya ngozi una dawa zake?
 
Nipe suluhisho la kutibu vidonda vya tumbo maana soon naweza die
Vidonda vya tumbo inategemeana na kisababishi:Vingine ni kuzidi kwa asidi tumboni inayosababisha kukwangua kuta za tumbo na kusababisha vidonda vyenye maumivu makali,lakini pia inaweza kuwa ni mdudu(bakteria) anayesababisha madonda ya tumbo(H.pyrol)
Fanya mambo haya kwa sasa
1.Jizuie kutumia vyakula vyote vinavyoweza kuongeza asidi nyingi tumboni wakati wa mmeng'enyo wa chakula
2.Jizuie na msongo wa mawazo unaoweza kusababisha uzalishwaji mwingi wa nyongo na hivyo kuchochea ongezeko la asidi tumboni.
3.Pendelea kunywa maziwa fresh kila siku asubuhi mchana na jioni kuanzia sasa.
4.Tafuta mimea ile ya mashona nguo chemsha vizuri na utumie kunywa asubuhi mchana na jioni glass
5. Mwisho tafuta unga wa mizizi ya mjafari ulioandaliwa vizuri kabisa unakuwa unatumia kijiko cha chai katika maji moto asubuhi mchana na jioni.

Mungu akupe wepesi!
 
Asante kwa elimu kiongozi
 
Hakuna dawa zaidi ya kuamua kuachana na roho ya kupiga punyeto.Kilichopo ni dawa ya kutibu madhara yanayoachwa na punyeto,ila kuacha ni maamuzi yako.Tafadhali amua kuacha sasa!

Siku ukiishiwa nguvu za kiume nitakusaidia kurejesha lakini cha msingi achana kabisa na hilo zoezi litakugharimu.
 
Tatizo la kutoka damu kwenye fizi hasa kulia upande wa juu kwenye jino la mwisho. Tatizo ni nini? Japo usafi wa kinywa nauzingatia hili tatizo ninalo karibia 10+ yrs. Na vyakula vya sukari nyingi kama bskuti ni mara chache nakula pia sio mtumiaji wa pombe
 
Back
Top Bottom