thi tuwatafuteeeee
ehehehhe mi nimethema tuuu
yani mwezi mmoja tusherehekee besidei mbili ehehehehhehehe
mi nimethema tuuu!
ndo maana nika-warn kabisa..... usiseme sababu kanibeba tumboni miezi kadhaa, kuna wanaobeba mimba na wanatupa watoto....
majukumu ya wazazi kwa watoto ni kawaida. siwezi sema baba ananipenda zaidi sababu ananilipia ada ya shule, ni wajibu wake
Mwishowe unaweza kuthema unataka nanihii!!!!!!!!!
We sema udhanie ni vidhuriiiii!!!!!!!!!
DAWA YA KUKUZA UUME HII HAPA, YA KIENYEJI.HII NI KWA WALE WENYE UUME MDOGO TU!, DAWA IMEPATIKANA KWA DR, INAITWA MNYUMBU TOKA SONGEA HII INA KAZI MOJA TU YA KUKUZA UUME TU NA SI KUONGEZA NGUVU KAMA WENGENE WANAVOJINADI. UNAWEZA WASILIANA NA DOKTA JEROME ANAPATIKANA MACHIMBO ,DAR ES SALAAM KWA EMAIL YAKE. jeromelameck@gmail.com KUMBUKA WENGI WENYE TATIZO HILI NI WASIRI MNO KIASI CHA KUTOWEZA KUTAMBULIKA. SULUHISHO LIMEPATIKANA KWA DOKTA JEROME...........
Eiyer upendo wa baba upo na kuna post nimesema kuna baba anaupendo na wanawe kuliko mama hata sie majirani tunafurahia hilo............. unapokuja kwa upande wangu napenda kuuzungumzia zaidi wa mama wa baba naomba nisiuzungumzie maana sikuwahi kuuna wala kuuhisi.....watu kama kina Nyani Ngabu haishi kusifia upendo wa baba kwa vile ndiye aliyeonyesha hiloYou need to live longer than that ili uujue ukeli mkubwa sana
Roho inaniuma sana kwa watu kutokuuthamini upendo wa baba
Sijui hata niseme nini!
Eiyer upendo wa baba upo na kuna post nimesema kuna baba anaupendo na wanawe kuliko mama hata sie majirani tunafurahia hilo............. unapokuja kwa upande wangu napenda kuuzungumzia zaidi wa mama wa baba naomba nisiuzungumzie maana sikuwahi kuuna wala kuuhisi.....watu kama kina Nyani Ngabu haishi kusifia upendo wa baba kwa vile ndiye aliyeonyesha hilo
Nani kama baba?
Nani kama baba?
Hakuna!
hapa kiukweli umeniacha kwa mataa kabisaaaathi tuwatafuteeeee
ehehehhe mi nimethema tuuu
yani mwezi mmoja tusherehekee besidei mbili ehehehehhehehe
mi nimethema tuuu!
he he heeee, wewe ndo una-feel hivyo, na inaapply kwako...its more than that!! when you're sick, feeling down, made a mistake etc mama anakuwa wa kwanza kukufariji na kukupa ushauri. even when i'm angry sometimes my mom's voice can calm me na kunifanya nijiulize mara mbili mbili why nimechukia na inasaidia kuepuka kufanya "something i'll regret later". this is hard to find in other women so thats y tunasema mom's love is #1
Nani kama baba?
mimi pia naweza kumsemea hivi baba yangu......Hakuna!
Jamani pacha wangu asante kwa kunibeep manake ningepitwa. Mimi niseme tu wale waliopata upendo wa mama kiasi kwamba hawaambiwi kitu wamshukuru Mungu kwani si wote waliopata nafac hiyo ya kupendwa. Kuna wengine nafac ya mama kwao ni ndogo mno nao hatuwezi kuwalaumu tuwape pole tu na kuwaombea. Kwa hiyo niwape hongera wote wanaoweza kusema ni nani kama mama just be blessed.he he heeee, wewe ndo una-feel hivyo, na inaapply kwako...
kuna wengine huwezi kuwaambia hayo maneno wakaelewa....
jamani pacha wangu Ablessed kapita hapa kweli? sijamsikia
pacha nilishangaa tu kuwa sijakusikia hapa....Jamani pacha wangu asante kwa kunibeep manake ningepitwa. Mimi niseme tu wale waliopata upendo wa mama kiasi kwamba hawaambiwi kitu wamshukuru Mungu kwani si wote waliopata nafac hiyo ya kupendwa. Kuna wengine nafac ya mama kwao ni ndogo mno nao hatuwezi kuwalaumu tuwape pole tu na kuwaombea. Kwa hiyo niwape hongera wote wanaoweza kusema ni nani kama mama just be blessed.
Mimi naweza kusema angalau baba alinionyesha pendo lake kabla ya kuanza kuwa na mambo mengi lkn mama sina kumbukumbu kama aliwahi kunipenda au kama hata ananipendaga. Wengi wana bond kubwa na mama zao lkn mimi sina kiukweli , ni rahisi kwangu kumwamini mama yangu wa kiroho na nahisi nampenda sana mama yule mwenzenu.pacha nilishangaa tu kuwa sijakusikia hapa....
tunashukuru kwa mchango wako. na ndo nikawa nawaambia kuwa huwezi sema kwa usahihi kabisa kuwa mama anakupenda kuliko yeyote....
kwa upande wangu mimi hata siwezi ku-rank nani ananipenda sana kuliko mwingine