Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
No Love is Greater than mom's Love
Kwa kifupi tu ni kwamba matamshi hayo yapo sahihi kwa aina fulani tu ya watu lakini si sahihi wakati wote.
mdogo wangu unataka tuwaunganishe akina nani kuwa mapacha?yani kwa kweli kila mwanamke aliyezaa akiisoma hii lazima amesisimkwa mwili!
dada mkubwa nafikkir tukae kama kamati!
hiv kwani kwenye ukoo kuna mapacha?
kwani hatuwezi tukawatengeneza wa nje nje!lol!
Twaib! Kwangu ni kinyume chake kabisa.
Kwangu ni No Love is Greater than dad's Love.
mmmmhhhh Nyani Ngabu you mean wewe upendo wako kwa baba ni zaidi ya wa kwa mama yako?
Damu nzito kuliko maji...Siwezi kueleza jinsi ninavyompenda mwanangu...Nitasacrifice chochote kwaajili yake..My child is my first priority..and that will always be..hata mwanaume yoyote atakayekuwepo maishani mwangu lazima amkubali yeye kwanza ndio mengine yatafuata....Ikumbukwe mpenzi wako sio ndugu yako ni mtu mliyekutana nae ukubwani na meno 32...But my child is my blood and flesh....Mapenzi ya baba kwa mtoto naweza kusema ni tofauti kidogo labda kwasababu anayechukua majukumu yote haswa katika malezi ni mama...kwahio ule ukaribu unakuwa tofauti haupo tightly bounded...Lakini nadhani inategemea vilevile na baba mwenyewe....
Without a shadow of a doubt!
I don't agree
Hongerasina wasiwasi kabisa kuwa mama yangu ananipenda sana tena sana kabisa.......
Kwanini una mashaka?Najiuliza ni fair kutoa statement kama hii?
Sio kweli kabisaNi kweli kabisa kuwa mama zetu wanatupenda sana kuliko mtu yeyote anavyotupenda?
Mama unachanganya mamboNina uhakika naweza kupima mapenzi yangu kwenda kwa mwingine, nina uhakika kabisa nani nampenda zaidi
Huwezilakini unaweza kujua kwa uhakika kabisa kuwa nani anakupenda sana kuliko mwingine?
Baba yangu alinipenda sana[R.I.P]Ni kweli wababa hawapendi watoto wao zaidi ya vile ambavyo mama zao wanawapenda?
Safi sana nimeipenda hiiTuachane na story za kusema "mama alimbeba mtoto tumboni miezi 9" ndo sababu anampenda sana. kuna wamama ambao wanabeba mimba na wanatupa watoto au kuwatelekeza.
Kwanza hutakiwi kujua kwasababu haikuhusuHaya mapenzi ya kutota upande mwingine tunayapimaje?
Haya!Naomba tujadiliane hili tafadhali
mapendo yako kotekote ila yamebase sana kwa mama
Mama amekuwa mfano wa kuigwa kwa kila mtu kwani
yeye anaonesha mapenzi yakweli kwa mtoto wake hata
kama mtoto atamletea majanga kiasi gani lakini upendo
wa mama kwa mtoto haukomi ingawaje wako wamama
wengine ambao hawana moyo huo wa upendo hao ni
wachache kwa wingi wa wamama wanavyopenda watoto
wao, kwani hakuna kama jamani bandugu nenda ulaya
kaskazi, mashariki, magharibi hata kusini mama ni mama
Ila kweli nimetafakari meeng ambayo nilimkosea mama kwenye teenage na akaweza kunisamehe..hii yote ni kwa sababu ya upendo alionao kwangu lakini sio rahis kwa mtu mwingine kurudisha moyo na kuendelea kupenda...kwa mfano mwanaume/mume akishajua kuhusu rough past anakimbia yaani upendo unaisha na kupotea kabisa
Kongosho umenifurahisha jinsi ulivyoeleza.......mama hafananishwi na kitu kingine upendo anaokuwa nao kwa mwanawe hata wakati mwingine naangalia mafanikio/maisha niliyonayo nikimwondoa Mwenyezi Mungu muweza wa yote ni mama kwa sala na upendo dhati.
Unajuaje kuwa aliamua tu kukuacha kwakuwa hakuwa na pa kukupeleka?
Usilinganishe mapenzi na upendo
Past inamahusiano sana na mapenzi au hujui hilo?
Kama hujui bado wewe ni teen kiakili au kimwili!
You need to live longer than that ili uujue ukeli mkubwa sana
Roho inaniuma sana kwa watu kutokuuthamini upendo wa baba
Sijui hata niseme nini!
wewe si uuthamini tu kwani umekatazwa?kwa nini ulazimishe na wengine?
Na ndivyo unavyoweza kujuaasante kwa kujua mimi ni teen kwa sababu ya kutoa kile nnachokielewa...
Wrong assumptionno love is great than my mom's love..and you cant change it!@Eiyer
mdogo wangu unataka tuwaunganishe akina nani kuwa mapacha?