Nakubaliana nanyi kuwa hakuna penzi lisilo na sababu; kwani moja ya sababu universally ni "agizo la Mwenyezi Mungu" kwa agape love, na hata kwa He-She relationship ni kwasababu "you like each other enough to want to be together" pamoja na intimacy, security, kupata watoto etc.
Sasa tukirudi kuhusu dhana ya 'bila masharti', je pengine ni baadhi ya hizo sababu ndizo zinazalisha hizo conditions? mfano, nahitaji financial security; si nitalazimika kuweka kipato as kigezo (sharti); au kama mbaba anataka watoto basi age ya mtarajiwa si muhimu hata kama yeye ni mbabu?
This presupposes kua unaamua kutafuta mpenzi kwa sababu fulani fulani, hivo unaweka conditions ili ufikie malengo yako.
But kuna case ambapo hutafuti kitu, unakutana na mtu and you feel attracted. Hapa maybe kuna uwezekano wa unconditional love but it wont take long before ulete conditions, angalau zile zenye kuimarisha sustainability ya mahusiano.
Thanks EMT ingawa nimepata tabu kupata kile Tupac anarap imebidi nitafute maneno yake, ngoja niyaweke hapa in case kuna mwingine mzito kama mimi. LOL
Ipo,Ipo kabisa.
Kuna dada ana nipenda sana,tumekua wote for 6years.
hatuku fanikiwa kuoana sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Lakini bado ana nipenda sana,sistahili kupendwa nae,she'z cute sana.
Ana stahili kuwa na ma-HB huko,sio sura ya kazi kama mimi,lakini ana
nipenda hadi kesho kutwa.
Kila niki tafakari upendo wake,(tofauti na ule wa Yesu,na upendo wa mama),..
huu wake pia nauita UNCONDITIONAL love.
Najua hatutaoana,lakini najua hata nitakae muoa hato nipenda kama huyu binti.
Unconditional love exists,tena sana tu,i have experienced it.
Na huyu atakuwa shahidi mzuri sana, ona anavyotoa mwongozo
Mkuu nadhani hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uzuri wa mtu wa nje na machaguo ya moyo wake lakini sifa ndio huinua kiburi ndani ya mtu na kujiona hastahili kuwa na mtu flani au flani. Deep down to ze heart hakuna hayo makitu. hujawahi kuona couple flani ukajiuliza labda hyu mzuri hivi kampendea nini huyo??
I believe unconditional love exist, If you cant give reasons as to why you love someone, Thats unconditional, But if you have any angle, its materialistic. Bahati mbaya nyingine ikatokea mtu kampenda mwenzake ki-hivyo anaonekana tena zombie, ptuuu, complications over complicateds, Hahaaaaa:nono::nono:
Mkuu nadhani hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya uzuri wa mtu wa nje na machaguo ya moyo wake lakini sifa ndio huinua kiburi ndani ya mtu na kujiona hastahili kuwa na mtu flani au flani. Deep down to ze heart hakuna hayo makitu. hujawahi kuona couple flani ukajiuliza labda hyu mzuri hivi kampendea nini huyo??
I believe unconditional love exist, If you cant give reasons as to why you love someone, Thats unconditional, But if you have any angle, its materialistic. Bahati mbaya nyingine ikatokea mtu kampenda mwenzake ki-hivyo anaonekana tena zombie, ptuuu, complications over complicateds, Hahaaaaa:nono::nono:
Yaani wewe ni mwanafunzi mzuri sana. lol.
Inaonyesha umelielewa somo.
This is what is called "unconditional love"
Especially when that person keeps making miracles to you.
Even when you act crazy, the person will still love you regardless.
Hivi si nilikuwa nimeaga hapa? Haya class dismissed. lol
Hapa nakuunga mkono, sisahau enzi zetu (saa sita) tuliimba kuwa nitakupenda hadi bahari ya hindi ikauke (condition), siku ya harusi bwana harusi anaambiwa 'umemona hana kovu...." (condition), akikushinda mrudishe n.k. Nyie mnaambizana,..... utanitunza? ....Hutanipiga n.k. Tukirejea katika mada yako hakuna urafiki usiokuwa na faida kwa kila upande, hivyo hakuna mapenzi yasiyokuwa na faida kwa wapenzi. Faida zikikosekana hapo hapo kila mtu na lwake.In black wengine wanasema hakuna kupenda kusiko kuwa na sababu nami kwa kiwango kikubwa nakubaliana nao. In red, inasikitisha sana hasa hilo jina la Zombie. Ndio hao wanaofikia hatua za kujiondoa uhai nini?
In black wengine wanasema hakuna kupenda kusiko kuwa na sababu nami kwa kiwango kikubwa nakubaliana nao.
In red, inasikitisha sana hasa hilo jina la Zombie. Ndio hao wanaofikia hatua za kujiondoa uhai nini?
anxiously waiting for this Zion DaughterNa kwa kuanzia ngoja niweke picha yangu hapa iwe test namba moja..
Nami nakubaliana na wewe, Ila ukishaona sababu (angle of interest ie upole, mali, uzuri, ubaya, fame etc) ina maana hio anle ikiondoka, inaondoka na upendo; huo ni upendo lakini sio agape 'unconditional'
Hebu soma hapa uone maana na mfano halisi ya unconditional love
Romans 8:38''For I am convinced that neither death nor life, neither angels nor demons,neither the present nor the future, nor any powers, [SUP]39 [/SUP]neither height nor depth, nor anything else in all creation, will be able to separate us from the love of God that is in Christ Jesus our Lord''. Do you get the angle of interest here?
Ya Paulo kwa Yesu Kristu nakubaliana nayo, but why? Coz aliuona utukufu wa Yesu au waweza kusema aliiona KWELI alipoongolewa; maana Saulo by then (kabla ya kumuona Yesu Mfufuka) alikuwa anaamini kile alichokuwa anapigania hadi kuwadhulumu wakristu wa kwanza ndio ukweli au dini ya kweli. Hivyo he was in quest for TRUTH, na l think l can safely say kuwasababu ya kumpenda Yesu that much ni kwakuwa ndiye Mungu na anategemea kushiriki utukufu pamoja na malaika mbinguni mwisho utakapowadia. Ni kweli mwl EMT? am l still being my best au nishapotea.
wewe nawe Mkuu Speaker haujiamini tu, halafu mpaka leo una post 6,070 hujaoa unasubiri nini aisee???
Think about unwanted pregnancies that results into children i.e. unwanted pregnancies for sure changes from time to time as per prevailing conditions at time t.Unconditional love is only found in the bible. The only person who can love you without any condition is your parent; however, this is also a matter of time.