hayo mafaniki tumyaorodhesha kwenye kuchokoza mada na hatuna shida na hilo ni kweli basi jaribu kujikita kwenye hasara zake ndani ya ukawa na uje hitimisho
mafano;
2. Dr. Slaa kapotea kwenye siasa
3. Maalim Seif kapoteza umakamu wa rais
4. CUF imesambaratika
5. CUF imepoteaza viti vyote katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar
6. CUF imepoteza mawaziri Zanzibar
7. CHADEMA imeongeza ruzuku mara mbili ukilinganisha na 2010/2015
Nilisha sema moto wa msituni unakolezwa na upepo, utabiri wa hali ya hewa inaonyesha si punde upepo utaelekea katika anga za Chadema.Hajamtuma ila ni sababu kubwa...na gogoro hili litatafuna hata CHADEMA ni suala la muda.