Tujadili ujio wa Lowassa UKAWA tangu atimize mwaka

Lowasa ameurudisha upinzani miaka ishirini nyuma kwenda kushika dola
ndo maana naamini kama huyu lwaiganani hawatamfukuza basi CCM itatawala bila changamoto kutoka upinzani kuanzia 2020
 
Asset or liability?

Waulize Nccr watakupa jibu
 
huku hayo yote yakitokea yeye kashatangaza 2020 anaogombea tena sasa mtifuano utakaoibuka chadema huko hautazimika. ndo madhara ya kuendesha chama ki ONE MAN SHOW.
Lazima atangaze mapema chama si tayari ameshauziwa?, no one unless awe na mititizo ile ya video iliyovuja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu:
Hoja Na. 1 na 7 hizo zimethibiti hakuna anayebisha kutokana na huo ukweli hivyo 2/8 ni sawa na asilimia 25% ni faida kwa Mh. Lowassa. Hoja zingine zote (2,3,4,5,6,8,) ni hasara kwa Mh. Lowassa hivyo 6/8 ni sawa na asilimia 75%.

Hitimisho
Faida ni asilimia 25% tu ukilinganisha na hasara yenye asilimia 75%. Gharama ni kubwa kuliko faida. (Haijafikia break even point hata ikiwa kwenye long run ya miaka mitano) .Hivyo basi Mh. Lowassa ni hatari (risk) kwa ukawa.
 
ushauli huu wapinzani tukiuchukulia kwa mawazo chanya tunaweza kujikomboa la sivyo tumekwisha.
 
ndo maana naamini kama huyu lwaiganani hawatamfukuza basi CCM itatawala bila changamoto kutoka upinzani kuanzia 2020
Nahisi mbatia ashajikatia tamaa kaamua amalizie siasa yake hapa duniani kama msemaji mkuu wa Lowasa so sad
 
Wadau amani iwe kwenu naomba kiroho safi kabisa ujio wa gwiji la siasa Edward Ngoyai Lowassa ni faida kwa vyama vya UKAWA au hasara.

Nachokoza mada kwa kuangalia mambo yafuatayo:

1. Kaongeza viti maalum bungeni

2. Dr. Slaa kapotea kwenye siasa

3. Maalim Seif kapoteza umakamu wa rais

4. CUF imesambaratika

5. CUF imepoteaza viti vyote katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar

6. CUF imepoteza mawaziri Zanzibar

7. CHADEMA imeongeza ruzuku mara mbili ukilinganisha na 2010/2015

8.CHADEMA Haiongelei tena sera yake ya kupambana na UFISADI na ile LIST OF SHAME uongozi wa CHADEMA umeichoma moto.

Sasa naomba tuambiane ukweli, huyu jamaa ni faida au hasara ndani ya Muungano wetu pendwa UKAWA.

Karibuni tujadili bila hasira tusije toboa keyboard zetu.

Uko CCm amna ya kujadili mpaka mjadili ya vyama vingine?
 
Sasa hivi upinzani wakiandika yale makampuni na ishu za kifisadi kama MEREMETA, ESCROW, DOWANS, LUGUMI...etc hawaandiki tena RICHMOND! Kuna kiazi mmoja yeye kila akiandika lazima hayo makampuni ayataje except Richmond
 
anaogopa kumdalilisha baba yake lowasa labda
 
Wadau amani iwe kwenu naomba kiroho safi kabisa ujio wa gwiji la siasa Edward Ngoyai Lowassa ni faida kwa vyama vya UKAWA au hasara.

Nachokoza mada kwa kuangalia mambo yafuatayo:

1. Kaongeza viti maalum bungeni

2. Dr. Slaa kapotea kwenye siasa

3. Maalim Seif kapoteza umakamu wa rais

4. CUF imesambaratika

5. CUF imepoteaza viti vyote katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar

6. CUF imepoteza mawaziri Zanzibar

7. CHADEMA imeongeza ruzuku mara mbili ukilinganisha na 2010/2015

8.CHADEMA Haiongelei tena sera yake ya kupambana na UFISADI na ile LIST OF SHAME uongozi wa CHADEMA umeichoma moto.

Sasa naomba tuambiane ukweli, huyu jamaa ni faida au hasara ndani ya Muungano wetu pendwa UKAWA.

Karibuni tujadili bila hasira tusije toboa keyboard zetu.

Lowasa asset.jpg

Sina Usingizi !!!!!! - LOWASA.jpg

Akili inagoma.jpg

​
 
hayo mafaniki tumyaorodhesha kwenye kuchokoza mada na hatuna shida na hilo ni kweli basi jaribu kujikita kwenye hasara zake ndani ya ukawa na uje hitimisho
mafano;

Back
Top Bottom