Richard chilongani
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 324
- 112
Mzee Mkapa ndiye alitoa ushauri.Leo nilikuwa nasikiliza amka na BBC kumbe hata Rais mstaafu ametoa ushauri kuwepo na mjadala wa wadau mbali mbali ktk maswala mazima ya Elimu na mabdiliko. Nadhani yupo sahihi
Hapana, gharama za a'level ni ndogo mno kuliko diploma chuoni, ni vema cc wenye uwezo mdg kiuchumi 2kaze buti ili 2qualify kwenda a'level kisha degree. Hii ita2fanya 2we serious na elimu kuliko kulegealegea halafu 2narnda diploma. Safi sana mh. Ndalichakohapo atakae umia ni mtoto wa maskini, mtoto wa kishua ataenda abroad kusoma, naipenda sana tz ha ha ha ha
saaaan bana lao hiyoo ndo habariii ya mjiniii cha msingi ni GPA tuu 3.0System haijachange mkuuu,,,,, ni kama zamani tuu ila isipokuwa m2 wa diploma kwenda bachelor lazima awe na minimal GPA ya 3.0
Alielewekwa vibaYa ndugu,,, wala Hajasema kitu hicho,,, pale alitolea mfano wa m2 ambaYe alifer form six alafu anataka kufanya Foundation course badala ya ku resete mtihani,,,, ko hicho kitu amekipiga marufuku ko Foundation course imefutwa,,, ther for m2 aliye fika mpaka form six halafu akafeli Either arudie mtihani ili apate quarification ya kuingia Chuo kikuu AU Atumie cheti chake cha form four kwenda diploma ili baadae ajiunge na shahada Ya kwanza atakapo Graduate Diploma Yake, Lkn pia kuna watu ambao Hawakupata nafasi Ya kwenda kidato cha tano ko hawa wamepitia certificate , baada Ya hapo watajiunga na diploma EventuallY wa ki graduate diploma Yao nao watakuwa na sifa Ya kujoin shahada Ya kwanza,,,, lkn ikumbukwe kwamba minimal GPA requirement ni 3.0 nw TBT ilikuwa 2.7 ikaongezwa mpaka 3.5,, lkn siku chache walipunguza tena mpaka hyo GPA ya 3.0 bila kutoa reson behind,,,,Elimu yetu kila mtu anayekuwa waziri wa elimu anaichezea anavyotaka. Hivi waziri huyu hajui kuna equivalent qualification??? Hivi mtu anayesoma certificate + diploma utamnyimaje nafasi ya kwenda kusoma degree?? Waziri wangu hapa kwa mawazo yangu umechemka sana.
Alielewekwa vibaYa ndugu,,, wala Hajasema kitu hicho,,, pale alitolea mfano wa m2 ambaYe alifer form six alafu anataka kufanya Foundation course badala ya ku resete mtihani,,,, ko hicho kitu amekipiga marufuku ko Foundation course imefutwa,,, ther for m2 aliye fika mpaka form six halafu akafeli Either arudie mtihani ili apate quarification ya kuingia Chuo kikuu AU Atumie cheti chake cha form four kwenda diploma ili baadae ajiunge na shahada Ya kwanza atakapo Graduate Diploma Yake, Lkn pia kuna watu ambao Hawakupata nafasi Ya kwenda kidato cha tano ko hawa wamepitia certificate , baada Ya hapo watajiunga na diploma EventuallY wa ki graduate diploma Yao nao watakuwa na sifa Ya kujoin shahada Ya kwanza,,,, lkn ikumbukwe kwamba minimal GPA requirement ni 3.0 nw TBT ilikuwa 2.7 ikaongezwa mpaka 3.5,, lkn siku chache walipunguza tena mpaka hyo GPA ya 3.0 bila kutoa reson behind,,,,
Kwhyo ndugu Yangu ile kauri ilitafsiriwa vbaya kilicho pigwa marufuku ni FOUNDATION COURSE,