Tujadili tamko la Waziri wa Elimu kuhusu masuala ya udahili

Richard chilongani

Richard chilongani

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
326
Likes
111
Points
60
Richard chilongani

Richard chilongani

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
326 111 60
Nimeona kama mdau nifungue ukurasa ili kupata maoni ya wana zuoni na wadau wengine ktk Elimu.

Hoja yangu ni hii hivi karibuni waziri alifuta udahili wote wa diploma ya elimu msingi na pia sambamba na hilo sasa kuanzia mwakani mtu yeyote hata dahiliwa kujiunga chuo kikuu kufanya degre kama atakuwa kaishia form four hata kama atakuwa kaanzia certificate, foundation ukomo Wake utakuwa diploma tu.

Kamwe mtu wa form four hata kama akifanya Diploma hato ingia chuo kikuu hadi amefanya Mitihani ya form Six.

Je, hili limekaaje wadau? Tujadili kama wasomi.
 
Martchaz chaz mart

Martchaz chaz mart

Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
78
Likes
11
Points
15
Age
22
Martchaz chaz mart

Martchaz chaz mart

Member
Joined Nov 22, 2016
78 11 15
Hapo atakua kakosea kinoma yani so fair hata kidogo
 
Richard chilongani

Richard chilongani

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
326
Likes
111
Points
60
Richard chilongani

Richard chilongani

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
326 111 60
Leo nilikuwa nasikiliza amka na BBC kumbe hata Rais mstaafu ametoa ushauri kuwepo na mjadala wa wadau mbali mbali ktk maswala mazima ya Elimu na mabdiliko. Nadhani yupo sahihi
 
Omukitwe

Omukitwe

Member
Joined
Mar 29, 2016
Messages
91
Likes
90
Points
25
Omukitwe

Omukitwe

Member
Joined Mar 29, 2016
91 90 25
Elimu yetu kila mtu anayekuwa waziri wa elimu anaichezea anavyotaka. Hivi waziri huyu hajui kuna equivalent qualification??? Hivi mtu anayesoma certificate + diploma utamnyimaje nafasi ya kwenda kusoma degree?? Waziri wangu hapa kwa mawazo yangu umechemka sana.
 
S

saede mbondela

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Messages
369
Likes
219
Points
60
S

saede mbondela

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2013
369 219 60
Huenda wa wamekusudia kuwahamisha watu kwenda kwenye mamb mengine kinyume na kusoma.
Haiweisekan kila siku waje na jipya tena lenye kuumiza wanyonge
Mwakaa huu weng wamekosa vigezo vya kwenda chui kikuu waka amaue waende diploma, leo unawaambia hawataenda kusoma degree hata kama watapata hyo gpa ya 3.0
Inakuaje hawa jamaa!!!
 
my only peace

my only peace

New Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
3
Likes
1
Points
5
Age
25
my only peace

my only peace

New Member
Joined Oct 16, 2016
3 1 5
Nimesikia,kwa walio,maliza,form,six alafu wakarudi diploma wanaweza kudahiliwa kwenda bachelor na hilo swala limekaaje ndugu zangu?
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
13,422
Likes
23,028
Points
280
Age
26
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
13,422 23,028 280
Kwahiyo zile ndoto za kuvaa joho kama alivyotaka ziwe zinaanzia degree baadhi ya watu ndiyo zishawapitia kushoto...
 
Joe N

Joe N

Member
Joined
Sep 15, 2016
Messages
15
Likes
5
Points
5
Age
22
Joe N

Joe N

Member
Joined Sep 15, 2016
15 5 5
hapo atakae umia ni mtoto wa maskini, mtoto wa kishua ataenda abroad kusoma, naipenda sana tz ha ha ha ha
Hapana, gharama za a'level ni ndogo mno kuliko diploma chuoni, ni vema cc wenye uwezo mdg kiuchumi 2kaze buti ili 2qualify kwenda a'level kisha degree. Hii ita2fanya 2we serious na elimu kuliko kulegealegea halafu 2narnda diploma. Safi sana mh. Ndalichako
 
chepson kalinga

chepson kalinga

Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
35
Likes
12
Points
15
Age
25
chepson kalinga

chepson kalinga

Member
Joined Jun 7, 2016
35 12 15
System haijachange mkuuu,,,,, ni kama zamani tuu ila isipokuwa m2 wa diploma kwenda bachelor lazima awe na minimal GPA ya 3.0
saaaan bana lao hiyoo ndo habariii ya mjiniii cha msingi ni GPA tuu 3.0
 
frmjohn

frmjohn

Member
Joined
Nov 27, 2016
Messages
16
Likes
13
Points
5
Age
114
frmjohn

frmjohn

Member
Joined Nov 27, 2016
16 13 5
Elimu yetu kila mtu anayekuwa waziri wa elimu anaichezea anavyotaka. Hivi waziri huyu hajui kuna equivalent qualification??? Hivi mtu anayesoma certificate + diploma utamnyimaje nafasi ya kwenda kusoma degree?? Waziri wangu hapa kwa mawazo yangu umechemka sana.
Alielewekwa vibaYa ndugu,,, wala Hajasema kitu hicho,,, pale alitolea mfano wa m2 ambaYe alifer form six alafu anataka kufanya Foundation course badala ya ku resete mtihani,,,, ko hicho kitu amekipiga marufuku ko Foundation course imefutwa,,, ther for m2 aliye fika mpaka form six halafu akafeli Either arudie mtihani ili apate quarification ya kuingia Chuo kikuu AU Atumie cheti chake cha form four kwenda diploma ili baadae ajiunge na shahada Ya kwanza atakapo Graduate Diploma Yake, Lkn pia kuna watu ambao Hawakupata nafasi Ya kwenda kidato cha tano ko hawa wamepitia certificate , baada Ya hapo watajiunga na diploma EventuallY wa ki graduate diploma Yao nao watakuwa na sifa Ya kujoin shahada Ya kwanza,,,, lkn ikumbukwe kwamba minimal GPA requirement ni 3.0 nw TBT ilikuwa 2.7 ikaongezwa mpaka 3.5,, lkn siku chache walipunguza tena mpaka hyo GPA ya 3.0 bila kutoa reson behind,,,,
Kwhyo ndugu Yangu ile kauri ilitafsiriwa vbaya kilicho pigwa marufuku ni FOUNDATION COURSE,
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,249
Likes
20,340
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,249 20,340 280
Wameamuwa kuwaconfuse Watanzania ili kuwagawa msiwe na ajenda moja ya kitaifa kuhusu ugumu wa maisha, hii inaitwa spinning and divert the topic.

Huyu Mama Ndalichako asiwasumbuwe muachieni waislamu watamalizana naye wala asiwasumbuwe akili.

Mjadala wa Kitaifa uwe ni ukali wa maisha na yale maisha bora tuliyoahidiwa yako wapi?

Jiandaeni kusomesha watoto wenu Kenya na Uganda maana Tanzania limeshaingia beef la watawala na watawaliwa.
 
Omukitwe

Omukitwe

Member
Joined
Mar 29, 2016
Messages
91
Likes
90
Points
25
Omukitwe

Omukitwe

Member
Joined Mar 29, 2016
91 90 25
Katafute kauli ya mheshimiwa waziri wa elimu ndo ujue wewe unaongea tofauti na yeye.
Alielewekwa vibaYa ndugu,,, wala Hajasema kitu hicho,,, pale alitolea mfano wa m2 ambaYe alifer form six alafu anataka kufanya Foundation course badala ya ku resete mtihani,,,, ko hicho kitu amekipiga marufuku ko Foundation course imefutwa,,, ther for m2 aliye fika mpaka form six halafu akafeli Either arudie mtihani ili apate quarification ya kuingia Chuo kikuu AU Atumie cheti chake cha form four kwenda diploma ili baadae ajiunge na shahada Ya kwanza atakapo Graduate Diploma Yake, Lkn pia kuna watu ambao Hawakupata nafasi Ya kwenda kidato cha tano ko hawa wamepitia certificate , baada Ya hapo watajiunga na diploma EventuallY wa ki graduate diploma Yao nao watakuwa na sifa Ya kujoin shahada Ya kwanza,,,, lkn ikumbukwe kwamba minimal GPA requirement ni 3.0 nw TBT ilikuwa 2.7 ikaongezwa mpaka 3.5,, lkn siku chache walipunguza tena mpaka hyo GPA ya 3.0 bila kutoa reson behind,,,,
Kwhyo ndugu Yangu ile kauri ilitafsiriwa vbaya kilicho pigwa marufuku ni FOUNDATION COURSE,
 
frmjohn

frmjohn

Member
Joined
Nov 27, 2016
Messages
16
Likes
13
Points
5
Age
114
frmjohn

frmjohn

Member
Joined Nov 27, 2016
16 13 5
Mi prsonallY nimeisikia mkuuu,,,, labda nikuulize ww sehemu yenye Utata wapi..
 
Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304