Richard chilongani
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 324
- 112
Nimeona kama mdau nifungue ukurasa ili kupata maoni ya wana zuoni na wadau wengine ktk Elimu.
Hoja yangu ni hii hivi karibuni waziri alifuta udahili wote wa diploma ya elimu msingi na pia sambamba na hilo sasa kuanzia mwakani mtu yeyote hata dahiliwa kujiunga chuo kikuu kufanya degre kama atakuwa kaishia form four hata kama atakuwa kaanzia certificate, foundation ukomo Wake utakuwa diploma tu.
Kamwe mtu wa form four hata kama akifanya Diploma hato ingia chuo kikuu hadi amefanya Mitihani ya form Six.
Je, hili limekaaje wadau? Tujadili kama wasomi.