labda tujiulize kwanini watu wanakuwa na plan B, ni situation inawalazimu au ni tabia tu?
yap, mhaya was a nice looking guy, but alikuwa very dependent kiasi kwamba he was not able to do his things on his own. muda wote jst asking from her sisters what he shld do, he was not trusting his actions.Mh! Unaweza uka'explain uhusiano wa hapo kwenye red na kuachana kwenu please?
Mh! Unaweza uka'explain uhusiano wa hapo kwenye red na kuachana kwenu please?
labda tujiulize kwanini watu wanakuwa na plan B, ni situation inawalazimu au ni tabia tu?
Unajua concept ya ndoa nayo katika dunia ya utandawazi hii imekuwa ngumu sana kuijadili.
/QUOTE]
You are right aisee
You are right, mwalimu wetu wa dini alikuwa ni mtawa na frate pia. Lakini si mapadri wanao toa mafundisho ya ndoa ilhali wao hawana, na si ndio wanaosuluhisha mafarakano ya ndoa pia. So ilikuwa ni mafunzo kwenye context ya kikristu.Kwanza waliowafundisha mafunzo hayo ya uchumba ni watawa au watu wenye ndoa zao?? Nataka kupima uzoefu wao wa hali halisi. Mtu anayekufundisha theory ya kuogelea wakati si mwogeleaji ni ngumu sana kujua changamoto za swimming pool, bahari, mto na ziwani. Mengine ana-assume tu kumbe ndivyo sivyo. Hakuna kitu kilichokuwa naona muujiza kama 'alteration in rocks' lakini kiuhalisia ize tu, anyway. Changamoto ya kwanza.
Makusudio ya awali, ni kuwa mchumba apatikane kati ya marafiki ikiwezekana, na marafiki ni wa jinsia zote. But the main point was vingine vyote waweza kuwa navyo vingi lkn sio mchumba (yule mliyeahidiana kuoana). So obvious upendo hauwezi kuwa sawa.Pili, kuwa na marafiki wengi, afu mchumba mmoja, makusudio yake yalikuwa mchumba mkishindwana unateua rafiki mwingine kuwa mchumba?? Kama ndio, nafasi ya upendo iko wapi? Je, wana-assume kuwa upendo ni equally distributed kati ya marafiki au wachumba tofauti??? Changamoto ya pili.
Exactly my point; kama umekuwa na nafasi ya kumchunguza na mkakubaliana kuwa wachumba, kwanini kuwe na umuhimu wa kuwa na potential hubby/wifey pembeni? Ina maana neno mchumba ni sawa tu na uBF na uGF? kwanini uwe na mashaka (kama yapo) kwamba akiniacha nitakuwa na mtu mwingine?Lakini pia, ishu ya kuwa na plan B katika dunia ya leo ambayo asilimia kubwa ni kuvuana kyupiz kabla ya ndoa inakuwaje? Nafasi ya uaminifu? Kama wakati wa uchumba tu ambapo bado unamhemuko wa mwenza wako, hamu haikuishi una Plan B, je mkiingia kwenye ndoa? Pale ambapo umeshajua mapungufu yake anakoroma usiku, akila anarusha chakula, labda ni insecure. he is no longer exciting, utakuwa mwaminifu?? Je wakati anashambuliwa na magonjwa kama kisukari, utakuwa mwaminifu?? Je ambapo hana uzazi, utakuwa mwaminifu??
Je wapenzi mtakuwa mnaaminiana wakati mnajua kila mmoja alikuwa na plan B wakati wa uchumba?? Changamoto ya tatu.
Good questionLakini pia, unapokuwa na Plan B, wakati Plan A iko active, una uhakika kiasi gani Plan B itakuoa pale A mambo yanapokwenda mrama? Je Plan B nayo ikiingia mitini? Kutakuwa na haja ya kuwa na Plan C and D labda??
Good observation pia.Aisee, ndoa na mapenzi hayana mahakama wala insurance kwa mtizamo wangu. Noana hapa Plan B inataka kutumika kama insurance hivi.
Kudate watu wawili kwa wakati mmoja ni swala gumu sana.mi naona kwanza ni kipaji.
Unakaa na mmoja akikushinda unapiga chini unachukua kifaa kipya
The coastal Theory ya Mafiga matatu
Swali, yanaleta uhakika wa ndoa??Au ni vibuzi tu vya kununua unga kilo moja na dagaa?
kwani hapo ume cc kutokana na status? yangu umeijuaje?
Back to topic: Kwa kweli mpango wa kando mara nyingi unatokana na wengi walio kwenye mahusiano kutokuwa na uaminifu, si vyema kuwa na mtu mwingine pembeni wakati unaye ambaye umeji commit kwake
wanaume siku hizi wanasababisha wadada wawe na plan B.....maana unakuta dada kajitoa ilhali mkaka anagegeda tu....akiangalia na umri unasonga anakuwa nao 2/3 atayefika bei tu ndo huyo huyo
Kaunga may be hapa niseme ukweli kuhusu mimi.
mume wangu alikua rafiki yangu wa kawaida sana, yaani alikuwa ni good friend kwangu hope Mentor unajua vyem this histry. mchumba niliyekuwa naye ambaye alikuwa ni mhaya siku aliponiboa tu nilikwenda kwake kumlalamikia, na nilipochoka but sjui nini kilitokea yeye akaingia kuwa mchumba.
as for me hii kwangu nilisema the mhaya wasn't my choice, manake kama ingekuwa hivyo basi ingework out ila so long as haikufanikiwa basi haikupangwa.
Mhaya is still our good friend na ndio loya wa familia. thanks God kwa wakai tuko friends hakuwah kunigegeda nafkir ndio maana ameweza kuwa rafiki wa familia.
Unajua nini my bro, ni mimi tu na watu wachache sana huwa tunakuelewa mafunzo yako katikati ya migegedo yako. Kwamba mwisho wa siku it is our loss!
Bolded; hata nami naku-support, lakini nahitaji ufafanuzi kdg. Ktk mila zetu, mara nyingi mwanaume ndiye mwenye sauti ya mwisho kuhusu ndoa right. Sasa kama haeleweki helewi au hata kwa hofu ya kwamba huenda ananichezea tu ndio maana ina sababisha baadhi ya kina dada kuwa na mpango wa pembeni (just in case) so kwa scenerio kama hiyo huoni mdada anakuwa sahihi kuwa na plan B ili asije akaanza mwanzo (remember it takes time hadi kufikia level ya uchumba).
PLAN B??????
lol!naomba nifanye declaration!mi niliolewa na plan A
iiiila sasa!
kwa maisha haya ya wadogo zetu yanavoendelea haya!
nahisi kama uhalali wa plan b umeshakuwa ndo mpango mzima!
binti kaleta home mchumba january mchumba kamwacha march dada zake twaitwakwenye kikao cha kwanza!
kijana kapeleka posa june august kaachwa oct anatangaza ndoa!
basi mradi ndo imeshakuwa!
napata hofu kuwa hizo ndoa fwata hizo kama kweli ni uchumba au urafiki mpya!SIDHANI!